Msumbiji (Mozambique) yadaiwa kushambuliwa na Al-Shabaab muda huu

Niliisoma biblia ua Kingereza nikwkutwnw na "sacrificed" .

Kuna mtu tena zaidi ya Mungu kujitoa mhanga? Itasaidia nini?Usifanye utani bwana. Soma...

So Christ was sacrificed once to take away the sins of many; and he will appear a second time, not to bear sin, but to bring salvation to those who are waiting for him.
Hebrews 9:28 |

Sasa wewe hujaelewa wapi dada faiza???

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Waambie ISIS,Boko Haram,Al Shabaab,Al Qaeda na Taliban wanapojitoa mhanga wasiue na watu wengine ambao hawataki itikadi zao.Wafe wenyewe.
Niliisoma biblia ya Kingereza nikakutana na "sacrificed" .

Kuna mtu tena zaidi ya Mungu kujitoa mhanga? Itasaidia nini?Usifanye utani bwana. Soma...

So Christ was sacrificed once to take away the sins of many; and he will appear a second time, not to bear sin, but to bring salvation to those who are waiting for him.
Hebrews 9:28 |

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie ISIS,Boko Haram,Al Shabaab,Al Qaeda na Taliban wanapojitoa mhanga wasiue na watu wengine ambao hawataki itikadi zao.Wafe wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo porojo tu. Vikundi vyote ulivyovitaja waliovianzisha wanajulikana na sababu za kuvianzisha zinajulikana.

Wanaodanganyika miaka hii ya "dunia kiganjani" ni wajinga ndiyo waliwao tu.
 
Huwezi kukemea corona?

Pepo sio corona bibi yangu...! Tuache uongo makundi mengi ya kigaidi ni waislam. Nitajie makundi matatu ya kigaidi ambayo ni ya wakristo ?? Ukinitajia namie nakuletea Bikra mwenye mtoto

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Pepo sio corona bibi yangu...! Tuache uongo makundi mengi ya kigaidi ni waislam. Nitajie makundi matatu ya kigaidi ambayo ni ya wakristo ?? Ukinitajia namie nakuletea Bikra mwenye mtoto

Sent from my iPhone using Tapatalk
Sikuandika kuwa pepo ni corona. Kanisome tena, usibadili maana. Nimeuliza "Huwezi kukemea corona?".
 
Kwa wenye kufikiri tunaelewa kuwa hayo ndio malengo ya mabwana zao wanaowatumia bila kujielewa. Kudiwe na amani ndiyo lengo. Fikiri....

Tanzania tulipokuwa tunasaini mikataba ya Mafuta na gas tulisikia ya Kibiti na kikundi hakijulikwni kilipoibuka kikawa kinwua hovyo, hawachagui Muislam na asiye Muislam na ukiitazama Sana maeneno waliyoyachagua ni Yale Yale yenye gas na mafuta na waliowaua wengi wao ni Waislam.

Baada ya Tanzania kuigomea mikataba mibovu ya gas na mafuta, Msumbiji wameikubali na kusaini, mara tu hao wanaojiita Alshabaab wameibukia Msumbiji! tena huko cabo Delgado ndiyo kuna Waislam wa Msumbiji na wanaouliwa na kuchomewa mali zao na hao wanaojiita Al shabaab utakuta ni Waislam!

Hivi kwa hali kama hiyo mnashindwa nini kufikiri japo kidogo?

Mimi huiita hiyo ni laana ya Mafuta na gas. Nani yupo nyuma ya hao wanaojiita Alshabab?
Majibu ni myepesi sana na wenyewe waliounda na wanaovifadhili hivyo vikundi wanakiri. Ona...

Wanaoshangaza ni wajinga walio wengi wasiyoyaona hayo kwa kuwa tu muono wao haufiki hata mwisho wa pua zao, kwa nini?...
Nakuelewa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wenye kufikiri tunaelewa kuwa hayo ndio malengo ya mabwana zao wanaowatumia bila kujielewa. Kusiwe na amani ndiyo lengo. Fikiri....

Tanzania tulipokuwa tunasaini mikataba ya Mafuta na gas tulisikia ya Kibiti na kikundi hakijulikani lilipoibukia likawa linaua hovyo, hawachagui Muislam na asiye Muislam na ukiitazama sana maeneno waliyoyachagua ni yale yale yenye gas na mafuta na waliowaua wengi wao ni Waislam.

Baada ya Tanzania kuigomea mikataba mibovu ya gas na mafuta, Msumbiji wameikubali na kusaini, mara tu hao wanaojiita Alshabaab wameibukia Msumbiji! tena huko cabo Delgado ndiyo kuna Waislam wa Msumbiji na wanaouliwa na kuchomewa mali zao na hao wanaojiita Al shabaab utakuta ni Waislam!

Hivi kwa hali kama hiyo mnashindwa nini kufikiri japo kidogo?

Mimi huiita hiyo ni laana ya Mafuta na gas. Nani yupo nyuma ya hao wanaojiita Alshabab?
Majibu ni myepesi sana na wenyewe waliounda na wanaovifadhili hivyo vikundi wanakiri. Ona...

Wanaoshangaza ni wajinga walio wengi wasiyoyaona hayo kwa kuwa tu muono wao haufiki hata mwisho wa pua zao, kwa nini?...

Mkuu FaizaFoxy naomba tutofautiane kidogo

Kwenye siasa za kimataifa kuna kitu wanaita proxy wars yaani vita ya nyuma ya pazia. Unatumia kikundi fulani kupigana na adui yako bila wewe kujitokeza wazi.

Sasa Vita baridi mataifa mengi kulikuwepo proxy wars kuanzia Cuba mpaka vietnam ama Congo mpaka Yugoslavia. Vikundi vilitengenezwa kweli lakini issue ilikuja kwenye exit plan viliachwa vijiendeshe vyenyewe vikiwa na silaha ndio vikaanza visa vyao

Hayo yalitokea DRC tuliona rebels baada ya proxy war kumtoa Mobutu wakaanza objectives zao wengine kujitenga,ama utekaji, wengine kutaka uongozi n.k

So marekani ilihusika yes kwa mujahideen wa Afghan kma ilivokua DRC,vietnam,cuba,Angola ila issue ni baada ya cold war walijiendeshaje hayo makundi.

Mbona makundi ya DRC na vietnam hayakuendeshwa kidini ila kiitikadi? Why hayo ya middle East ndio yawe na msimamo mikali ya kidini?

Kwahiyo hyo vidoe ulioweka Hillary anasema kuwa baada ya hyo transition ndio makundi yakawa reckless na ndio maana hata hao marekani wamepigwa nao.

Issue sio kuanzisha issue ni transition, hata Kumtoa gadaffi inaweza kuwa mpango wa US ila transition utailaumu US?

Kwahiyo vikundi vya extremism vipo kweli na vina malengo tajwa kabisa kilikuwepo KKK huko US na vipo NALU huko DRC. So tusikatae uwepo wa extremism duniani kisa proxy wars. Maana wakati wa proxy war muislam wa suni anaweza ungana na myahudi kumpiga Muislam wa Shia ila haibadili ukweli kuwa msuni anamchukia myahudi and viceversa.

Nilitaka kuweka hilo sawa maana ni kama tunajaribu ku overlook extremism duniani kwa kigezo cha proxy wars. Kma hoja ni oil curse huko somalia, CAR na sri lanka kuna mali zipi hadi waanzishe extreme groups?
 
Kwa mujibu wa ripoti za AU hilo kundi linajulikana kama ansar al sunna au swahili sunna. Huku kwetu walianza na vituo vya polisi nadhani mnakumbuka stori za Stakishari, na baadae likaibukia la Kibiti. Mungu alitupigania na umahiri wa vyombo vyetu vya usalama tukamudu hali zote na sasa tuko shwari, tuwe walinzi wazuri wa jamii zetu hasa kusaidia vyombo vya usalama kutoa taarifa pale tunapoona chanzo fulani maana hao jamaa wanaongea lugha yetu kwa ufasaha sana ili hali wanaweza kuvuka huku kwetu bila kuwajua mapema, nadhani kwa wanaofuatilia habari mlisikia vilio vya wavuvi Mtwara na wakazi wa vijiji vya jirani na mipakani hadi IGP Sirro akaenda kufuatilia.

Ushauri wangu kwa vyombo husika hapa nchini pia mchukue tahadhari kali mno kwa viongozi au vikundi vya dini vinavyo jaribu kupaka uupuzi kwenye akili za wengine hasa mabarobaro/vijana. Kenya waliweza kumfuatilia Sheikh abdu rogo na makala zake za uchochezi, Uganda akina Sheikh kamoga na karibia maeneo ya Congo akina jamil mukulu , dusmas sabuni wameshadhibitiwa.

NB: Tuwe walinzi wa kwanza wa Taifa letu kupinga uhalifu, tukichukulia mzaha tutashudia mengi. Mungu azidi kumbariki Raisi wetu, Taifa letu pamoja na Afrika nzima. Tunaangamia kwa kukosa maarifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom