Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,813
- 3,769
Kwahiyo mshakuwa huru tayari???
Kabisaaa...! maana naweza kukemea mapepo yatoke ba yakatoka
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwahiyo mshakuwa huru tayari???
Niliisoma biblia ua Kingereza nikwkutwnw na "sacrificed" .
Kuna mtu tena zaidi ya Mungu kujitoa mhanga? Itasaidia nini?Usifanye utani bwana. Soma...
So Christ was sacrificed once to take away the sins of many; and he will appear a second time, not to bear sin, but to bring salvation to those who are waiting for him.
Hebrews 9:28 |
Mimi nimeelewa vizuri sana Nakushangaa wewe ambae.hujaelewa.kuwa Yesu alijitowa mhanga ili wengine waokoke kwa mafundisho ya kanisa.Sasa wewe hujaelewa wapi dada faiza???
Sent from my iPhone using Tapatalk
Huwezi kukemea corona?Kabisaaa...! maana naweza kukemea mapepo yatoke ba yakatoka
Sent from my iPhone using Tapatalk
Niliisoma biblia ya Kingereza nikakutana na "sacrificed" .
Kuna mtu tena zaidi ya Mungu kujitoa mhanga? Itasaidia nini?Usifanye utani bwana. Soma...
So Christ was sacrificed once to take away the sins of many; and he will appear a second time, not to bear sin, but to bring salvation to those who are waiting for him.
Hebrews 9:28 |
Hizo porojo tu. Vikundi vyote ulivyovitaja waliovianzisha wanajulikana na sababu za kuvianzisha zinajulikana.Waambie ISIS,Boko Haram,Al Shabaab,Al Qaeda na Taliban wanapojitoa mhanga wasiue na watu wengine ambao hawataki itikadi zao.Wafe wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo porojo tu. Vikundi vyote ulivyovitaja waliovianzisha wanajulikana na sababu za kuvianzisha zinajulikana.
Wanaodanganyika miaka hii ya "dunia kiganjani" ni wajinga ndiyo waliwao tu.
Huwezi kukemea corona?
Sikuandika kuwa pepo ni corona. Kanisome tena, usibadili maana. Nimeuliza "Huwezi kukemea corona?".Pepo sio corona bibi yangu...! Tuache uongo makundi mengi ya kigaidi ni waislam. Nitajie makundi matatu ya kigaidi ambayo ni ya wakristo ?? Ukinitajia namie nakuletea Bikra mwenye mtoto
Sent from my iPhone using Tapatalk
Nakuelewa sana.Kwa wenye kufikiri tunaelewa kuwa hayo ndio malengo ya mabwana zao wanaowatumia bila kujielewa. Kudiwe na amani ndiyo lengo. Fikiri....
Tanzania tulipokuwa tunasaini mikataba ya Mafuta na gas tulisikia ya Kibiti na kikundi hakijulikwni kilipoibuka kikawa kinwua hovyo, hawachagui Muislam na asiye Muislam na ukiitazama Sana maeneno waliyoyachagua ni Yale Yale yenye gas na mafuta na waliowaua wengi wao ni Waislam.
Baada ya Tanzania kuigomea mikataba mibovu ya gas na mafuta, Msumbiji wameikubali na kusaini, mara tu hao wanaojiita Alshabaab wameibukia Msumbiji! tena huko cabo Delgado ndiyo kuna Waislam wa Msumbiji na wanaouliwa na kuchomewa mali zao na hao wanaojiita Al shabaab utakuta ni Waislam!
Hivi kwa hali kama hiyo mnashindwa nini kufikiri japo kidogo?
Mimi huiita hiyo ni laana ya Mafuta na gas. Nani yupo nyuma ya hao wanaojiita Alshabab?
Majibu ni myepesi sana na wenyewe waliounda na wanaovifadhili hivyo vikundi wanakiri. Ona...
Wanaoshangaza ni wajinga walio wengi wasiyoyaona hayo kwa kuwa tu muono wao haufiki hata mwisho wa pua zao, kwa nini?...
Munaompinga ndo hamuelewi.Ona hii mbuzi
WANA JAMII FORUMS, TUSIFANYE MAKOSA TENA OCT 2020
Kwa wenye kufikiri tunaelewa kuwa hayo ndio malengo ya mabwana zao wanaowatumia bila kujielewa. Kusiwe na amani ndiyo lengo. Fikiri....
Tanzania tulipokuwa tunasaini mikataba ya Mafuta na gas tulisikia ya Kibiti na kikundi hakijulikani lilipoibukia likawa linaua hovyo, hawachagui Muislam na asiye Muislam na ukiitazama sana maeneno waliyoyachagua ni yale yale yenye gas na mafuta na waliowaua wengi wao ni Waislam.