Msukuma wa Geita azomewa

Msukuma wa Geita azomewa

Malofa are conveying their message. Mind you, this is the only platform that they have. This is the only opportunity for them to exploit as kura rigings is likely in the forthcoming election.
 
😎:A S shade::wink::high5: AsanteMungu bado masaa machache hii Nchi Ipate Uhuru kamili baada ya manyanyaso ya FISIEM

FREEDOM IS COMING TOMMOROW

Acha ushabiki wa kijinga utashangaa siku wakiingia hao ndugu zako UKAWA maisha yatakaokuwa magumu mara dufu
 
Last edited by a moderator:

😎:A S shade::wink::high5: AsanteMungu bado masaa machache hii Nchi Ipate Uhuru kamili baada ya manyanyaso ya FISIEM

FREEDOM IS COMING TOMMOROW

Mmmhhh......pole musukuma. Sasa mbona amezama ghafla badala ya kukabiliana nao???
 
Last edited by a moderator:
Acha ushabiki wa kijinga utashangaa siku wakiingia hao ndugu zako UKAWA maisha yatakaokuwa magumu mara dufu

Utashangaa sana maisha yatapokuwa nafuu pale mafisiem yasiyotaka kufanya kazi kwa manufaa ya wanyonge yatakapokuwa out

FREEDOM is COMING tommorow:A S shade:
 
Huyu mbwa ile siku anamdhalilisha lowasa alisikia raha leo yamemkutaa kawa mpole kenge huyu
 
Back
Top Bottom