Kwani mkuu tatizo la bangi ni nini ? In fact kati ya siku zote leo msukuma kaongea vitu vya msingi sanaKatika kile kinachoonekana kukurupuka na kutojielewa leo mbunge musukuma kasheku ameomba serikali ihalalishe matumizi ya bangi ili iweze kuongeza pato la serikali. Hii inaonesha ni aina gani ya wabunge tulionao katika awamu hii. Naomba serikali ipige marufuku wabunge wa namna hii.
Sidhani kama swala la kuhalalisha bangi linahusiana na elimu ya hapa na pale ,MkuuKwa hiyo mkuu,Bangi ihalalishwe?Jamaa elimu duni inamsumbua
Mkuu na mimi nina elimu ya hapa na paleSasa kama si elimu duni,Msomi gani hajui madhara ya mirungi na bangi?
Bangi haramu lakini pombe na sigara halal...babylon system
Hapana Mkuu una uhakika ni bangi ndio imewafikisha hao vijana kwenye hivyo vitengo vya magonjwa ya akili ??? Ushawahi kutembelea jeshini au sehemu yeyote ya aina hiyo ??Nenda kwenye hospital za rufaa kitengo cha magonjwa ya akili,Utalia.Taifa linaangamia kwa huo mmea
Bhang ni natural herb na ina medicinal properties.hahaha I like your comment mkuu
Toxic cigarettes & Alcohols ..... YES !
Bangi........ NO !
'Babylon system' Teh teh teh