Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,162
- 162,594
Ni katika sehemu ya pili ya kipindi cha Star magazine ikiwa ni muendelezo wa kipindi cha wiki iliyopita.
Leo ataulizwa maswali na wananchi walioshiriki katika kipindi hicho.
Anyway,si live bali ni recorded.
Msikilizeni.
Anakana hajawahi tumia bangi baada ya kuulizwa swali na ameahidi kutolea ufafanuzi baadae kauli yake ya kutaka bangi iruhusiwe.
Msukuma anahoji iweje Kenya Mirungi ni zao la biashara alafu sisi tumeipaga marufuku?
Anasema chanzo cha kufanya mirungu kuwa ni bidha haramu ni kutokana na aliekuwa waziri wa manbo ya ndani bwana Mrema kupiga marufuku matumizi ya mirungi mwaka 1992 na akahoji kwani Mrema ni daktari mpaka aseme mirungi ni moja ya madawa ya kulevya?Anamshangaa Mrema.
Anasema baada ya kutetea bangi Bungeni,aliitwa Marekani na mayor mmoja na kuonyesha shamva la Bangi kama zao la biashara na anadai States 18 za Marekani zinaruhusu kilimo cha bangi kama zao la biashara ambalo hutumika kutengenezea vitu mbali mbali na anahoji inakuwaje sisi Tanzania nchi masikini hatutaki kuifanya bangi kama zao la biashara.
Msukuma anadai pia aliitwa nchini Kenya baada ya kutetea zao la Mirungi na pia amechangia zao hilo kuongezewa bajeti nchi Kenya.
Msukuma amedai hata wabunge mashuhuru katika bunge letu wanatumia bangi na hivyo haoni sababu kwanini wananchi wasiruhusiwe kuitumia na akaongeza kuna watu wakitumia bangi wanaweza kulima hata heka mbili.
Msukuma ametaja orodha ya nchi zinazoruhusu kilimo cha mirungi na kuzitaja kuwa ni Kenya, Uganda,Burundi na Sudani na kuishangaa Tanzania kufanya zao la mirungi kuwa ni bidhaa haramu.
Msukuma anahoji ni daktari gani wa kitanzania althinitisha kwa utafiti kuwa Bangi ina madhara na ametaka utafiti huo uliothibitisha kuwa bangi haifai uwekwe mezani.
Msukuma anahoji madakatri wa kitanzania na kuwashangaa kusema Bangi haifai huku wakibariki matumuzi ya viroba.
Hayo ni kwa kifupi kama nilivyoweza kuyakumbuka kutoka kwa Msukuma.
Mjumbe hauwawi.