msukuma awa kituko

msukuma awa kituko

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
1,751
Reaction score
422
mzee NCHIMANI alienda ulaya kwa mtoto wake. kwakuwa mtoto alijua baba ni mtu wa tungi hasa gongo akampeleka BAR kufika dingi akaanza kufakamia kinywaji.mara akaanza kuimba mwanae akamwambia {bhabha ukono bhatembaga} yaani baba huku huwa hawaimbi
 
dingi akanyamaza akaendelea kunywa kama nususaa akaanza kuimbatena mwanae akamukumbusha {nakuwelaga kinehe} nimekuambiaje? dingi aka wa mpole, kama dakika kumi dingi akamwambia mwanae {lekanakilekaneje} acha nikajisaidie, akaenda kamadakikakumihivi
 
kupita wazungu waliokuwa wanatoka chooni wakawa wananong'onezana wanaenda chooni mwisho karibu bar nzima ikawa imeishia chooni kijana akajiuliza kunanini,nababa mbona harudi? nae akaamua kwenda kuona kulikoni kufika akakuta babayake yuko kifua wazi
 
shati katundika kwenye mlango anacheza na kuimba mpakajasho limemtoka na kwakuwa kaona wazungu wana shangaa ndipo akaongeza kucheza. mwanae akamuuliza {bhabha alegeke?} baba nahivi?, dingi akajibu {angunosenagi nalena yangana} mwisho uvumilivu ulini
 
uvumilivu umenishinda. chezea sukusu wewe? msukuma anakarama ya kuimba huimba kila sehemu, ananjaa ataimba, kashiba ataimba, anatembea ataimba, amekaa ataimba. analima ataimba kilakitu yeye ni kuimba
 
Ha ha ha wakati wa kamchezo na mama masanja ataimba,
 
nyambafu........ Nyanoko.......
Hivi hamna wengine ila wasukuma tu??????????

nanh'o nyaso, nyamamayo, nyasengiyo , nyagokoyo, nyamamiyo, nyankeoko, nyabhanako, lebhula lyangh'aso,makunu ganghanokoundo, tombina,
 
nyambafu........ Nyanoko.......
Hivi hamna wengine ila wasukuma tu??????????

neyo olenale shibhumbu ukonomo. oye ulukabhele elimela alutalidebhile ukubula kukaya kujochanumbhu utafunyage mafulo.
 
uvumilivu umenishinda. chezea sukusu wewe? msukuma anakarama ya kuimba huimba kila sehemu, ananjaa ataimba, kashiba ataimba, anatembea ataimba, amekaa ataimba. analima ataimba kilakitu yeye ni kuimba
NCHIMANI maana yake ni mtu mwenye tabia ya 'Kuserukamba' watu.Wale wazungu bahati yao mtoto aliwahi kufika kunako tukio
 
Aliyo mapolomoko, tobina...ulugug'wila u'nyanda wakwe anshoshe kaya unamp'ala?...mangaluke nyanda wane....
 
Aliyo mapolomoko, tobina...ulugug'wila u'nyanda wakwe anshoshe kaya unamp'ala?...mangaluke nyanda wane....

wandyakinehe kunidokela nakunitana ndenyanda wako?. hukukalaguja ehaheye natimelaga nabayanda uligwa.
 
nanh'o nyaso, nyamamayo, nyasengiyo , nyagokoyo, nyamamiyo, nyankeoko, nyabhanako, lebhula lyangh'aso,makunu ganghanokoundo, tombina,

Mh! Naona dikishenari ya JF haijaona kuwa hapa kuna lugha ya matusi!!
 
Mh! Naona dikishenari ya JF haijaona kuwa hapa kuna lugha ya matusi!!

Acha uchonganishi matusi unayajua? kama hujui matani ya kisukuma kalale siyo kubahatisha acha wenye rugha tufaidi
 
wandyakinehe kunidokela nakunitana ndenyanda wako?. hukukalaguja ehaheye natimelaga nabayanda uligwa.

bhabha, noyaga....ulinamp'ala gashinaga...yeeeeeeee...uliwahe lulu,Ng'wanz, bhulima,ng'wagala, mh'unze....
 
bhabha, noyaga....ulinamp'ala gashinaga...yeeeeeeee...uliwahe lulu,Ng'wanz, bhulima,ng'wagala, mh'unze....

ha ha ha ha ha nakukangaduhu wilahela? nalewa Ng'wanza Nyamanolo Muchongomani kung'wane Kawekamo nyasaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom