Msukule ni nini?


Waganga ndio wachawi wenyewe, huwezi kufanya uganga usijue jinsi ya kuloga. Unapotafuta tiba kwao atakuongezea matatizo hadi ukome
 
u
Muulize Cheif Matunge
 
Duh!
Hizi imani zitatufikisha pabaya! Kweli????
 
MziziMkavu ulishanitisha kuwa utanichukua Msukule. Narudia tena kwa jina la Yesu ushindwe na ulegee mkuu. Na kila mtu aseme Aaaameeeeen!
 
Wacha uongo we mtoto.
Hivi unalipwa?

Wapi umeona msukule wewe?
Ndio maana watu km wewe wakati ule wa sungusungu tulikukamata tunapiga kibiriti tu.
Mnaharibu sana jamii nyie.

Uchawi mnao majumbani kwenu sasa mnatapeli watu kwa kuuza madawa ya uongo kwa uchawi huo huo wa uongo.

Acha kabisa laana hii.
 
utakuwa Punda wangu wa usiku ukinibebea mizigo yangu.................................😡😀
Sawa mkuu. Tena nimeanza kwenda gym na six pack imeanza kuonekana kwa mbali. Vikarate kidogo na Taekwondo. Hiyo kazi ya kubeba mizigo aisee itanifaa sana. Binadamu!
 
mwaka '84, kumbe wewe ni babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…