JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,927
- 8,180
Habarini wadau! Naona madaladala kadhaa hapa jijini Dsm yakiwa yamewekewa mstari Wa njano chini ya ule mstari unaotambulisha njia. Mfano chini ya mstari Wa rangi nyekundu kwa daladala za morogoro road kuna mstari huo Wa njano. Vilevile kwa Yale ya njia nyingine.
Naomba kufahamishwa huo mstari Wa njano ni Wa nini!? Maana hapo kabla haukuwepo.
Naomba kufahamishwa huo mstari Wa njano ni Wa nini!? Maana hapo kabla haukuwepo.