Kwanza anaitwa MSTAHIKI. Halafu kwa ulevi tuu wa madaraka DC anaamuru akamatwe na kuwekwa ndani masaa 48 kisha anaachiwa bila masharti yeyote wala kauli ya maana kwa nini kamuweka ndani Mstahiki Meya ambaye wananchi wamemchagua wao kwa kumwamini.
Hii iliyotokea Ubungo kwa kuwekwa ndani Meya Jacob ni sawa? Halafu huyo DC anawezaje kumtumia Meya huyo katika shughuli zao za maendeleo? Baraza la madiwani Ubungo lidai maelezo toka kwa DC huyo na kama hana maelezo ya maana wamsusie na kumnyima ushirikiano wa aina yeyote kwa kuidhalilisha Halmashauri ya Ubungo.
Tena hayo masaa 48 yalikuwa machache. Angefungwa zaidi ya hapo.Kwanza anaitwa MSTAHIKI. Halafu kwa ulevi tuu wa madaraka DC anaamuru akamatwe na kuwekwa ndani masaa 48 kisha anaachiwa bila masharti yeyote wala kauli ya maana kwa nini kamuweka ndani Mstahiki Meya ambaye wananchi wamemchagua wao kwa kumwamini.
Hii iliyotokea Ubungo kwa kuwekwa ndani Meya Jacob ni sawa? Halafu huyo DC anawezaje kumtumia Meya huyo katika shughuli zao za maendeleo? Baraza la madiwani Ubungo lidai maelezo toka kwa DC huyo na kama hana maelezo ya maana wamsusie na kumnyima ushirikiano wa aina yeyote kwa kuidhalilisha Halmashauri ya Ubungo.
Ni kwa sababu ya ufinyu wa mawazo, hii ni kwa Tanzania tu ndo uonevu unaweza kutokea, ukajirudia tena na tena na tena.
Viongozi wetu wa CHADEMA wamekosa vision kabisa. Hapa ndo pengo la Dr Slaa linaonekana wazi. Huu ujinga usingeweza kutokea akakaa kimya that much. Hata yaliyomkuta Lema asingeweza kuyavumilia. Lazima dude lingeamshwa. Lakini waliopo naona tayari wamenyoosha mikono. Inauma sana
Chadema mnakosa plan B kudeal na hao matahiraKwanza anaitwa MSTAHIKI. Halafu kwa ulevi tuu wa madaraka DC anaamuru akamatwe na kuwekwa ndani masaa 48 kisha anaachiwa bila masharti yeyote wala kauli ya maana kwa nini kamuweka ndani Mstahiki Meya ambaye wananchi wamemchagua wao kwa kumwamini.
Hii iliyotokea Ubungo kwa kuwekwa ndani Meya Jacob ni sawa? Halafu huyo DC anawezaje kumtumia Meya huyo katika shughuli zao za maendeleo? Baraza la madiwani Ubungo lidai maelezo toka kwa DC huyo na kama hana maelezo ya maana wamsusie na kumnyima ushirikiano wa aina yeyote kwa kuidhalilisha Halmashauri ya Ubungo.
Mtu amechaguliwa na wananchi halafu mwehu moja wa kuteuliwa anatafuta kiki kupitia chaguo la wananchi ?!. Katiba ya kikoloni kabisa . Watu wadai Katiba mpya upuuzi huu ufike mwisho.Tena hayo masaa 48 yalikuwa machache. Angefungwa zaidi ya hapo.
Ngoja kazi iendelee kule pwani ipo siku mtajua kuwa chuki ya wananchi imefikia pahala pa kufanya makubwa na ya kutisha.Tena hayo masaa 48 yalikuwa machache. Angefungwa zaidi ya hapo.
Poa poa mkuuTena hayo masaa 48 yalikuwa machache. Angefungwa zaidi ya hapo.
Ndo maana wanawatwanga risasi huko kibiti kwa mambo ya kipuuzi kama haya.Ndiyo!