Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,794
- 71,212
Kwanza anaitwa MSTAHIKI. Halafu kwa ulevi tuu wa madaraka DC anaamuru akamatwe na kuwekwa ndani masaa 48 kisha anaachiwa bila masharti yeyote wala kauli ya maana kwa nini kamuweka ndani Mstahiki Meya ambaye wananchi wamemchagua wao kwa kumwamini.
Hii iliyotokea Ubungo kwa kuwekwa ndani Meya Jacob ni sawa? Halafu huyo DC anawezaje kumtumia Meya huyo katika shughuli zao za maendeleo? Baraza la madiwani Ubungo lidai maelezo toka kwa DC huyo na kama hana maelezo ya maana wamsusie na kumnyima ushirikiano wa aina yeyote kwa kuidhalilisha Halmashauri ya Ubungo.