Mstahiki Meya Unamkamata 48hrs, Kisha Unamuachia Bila Kusema Neno. Ni sawa?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,707
71,018
Kwanza anaitwa MSTAHIKI. Halafu kwa ulevi tuu wa madaraka DC anaamuru akamatwe na kuwekwa ndani masaa 48 kisha anaachiwa bila masharti yeyote wala kauli ya maana kwa nini kamuweka ndani Mstahiki Meya ambaye wananchi wamemchagua wao kwa kumwamini.

Hii iliyotokea Ubungo kwa kuwekwa ndani Meya Jacob ni sawa? Halafu huyo DC anawezaje kumtumia Meya huyo katika shughuli zao za maendeleo? Baraza la madiwani Ubungo lidai maelezo toka kwa DC huyo na kama hana maelezo ya maana wamsusie na kumnyima ushirikiano wa aina yeyote kwa kuidhalilisha Halmashauri ya Ubungo.
 
Ndiyo!
 
Ni kwa sababu ya ufinyu wa mawazo, hii ni kwa Tanzania tu ndo uonevu unaweza kutokea, ukajirudia tena na tena na tena.

Viongozi wetu wa CHADEMA wamekosa vision kabisa. Hapa ndo pengo la Dr Slaa linaonekana wazi. Huu ujinga usingeweza kutokea akakaa kimya that much. Hata yaliyomkuta Lema asingeweza kuyavumilia. Lazima dude lingeamshwa. Lakini waliopo naona tayari wamenyoosha mikono. Inauma sana
 
Tena hayo masaa 48 yalikuwa machache. Angefungwa zaidi ya hapo.
 
Ni kwa sababu ya ufinyu wa mawazo, hii ni kwa Tanzania tu ndo uonevu unaweza kutokea, ukajirudia tena na tena na tena.

Viongozi wetu wa CHADEMA wamekosa vision kabisa. Hapa ndo pengo la Dr Slaa linaonekana wazi. Huu ujinga usingeweza kutokea akakaa kimya that much. Hata yaliyomkuta Lema asingeweza kuyavumilia. Lazima dude lingeamshwa. Lakini waliopo naona tayari wamenyoosha mikono. Inauma sana

Umeanza vizuri mpaka ulipomtaja huyo msaliti. Hata sikuendelea kusoma baada ya hapo.
 
Kwanza anaitwa MSTAHIKI. Halafu kwa ulevi tuu wa madaraka DC anaamuru akamatwe na kuwekwa ndani masaa 48 kisha anaachiwa bila masharti yeyote wala kauli ya maana kwa nini kamuweka ndani Mstahiki Meya ambaye wananchi wamemchagua wao kwa kumwamini.

Hii iliyotokea Ubungo kwa kuwekwa ndani Meya Jacob ni sawa? Halafu huyo DC anawezaje kumtumia Meya huyo katika shughuli zao za maendeleo? Baraza la madiwani Ubungo lidai maelezo toka kwa DC huyo na kama hana maelezo ya maana wamsusie na kumnyima ushirikiano wa aina yeyote kwa kuidhalilisha Halmashauri ya Ubungo.
Chadema mnakosa plan B kudeal na hao matahira
 
Ulitaka wauawe. Kama hawajafanya kitu bado wanaburuzwa. Halafu wa kwanza kusema amani ni hao hao wanaonyanyasa watu.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom