Mstaafu Kikwete miongoni mwa viongozi waalikwa kwenye Jukwaa la Viongozi wa Afrika atakaetoa mada kuhusu Biashara Huria Afrika

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,838
Uongozi Institute Kwa Kushirikiana na AFCFTA Secretariat Wameandaa Jukwaa la Uongozi yaani African Leades Forum ambalo litajadili Mambo ya Biashara Huria Africa na Miongoni Mwa Viongozi watakaochagiza Mazungumzo ni Jakaya Kikwete..

Wengine kwenye panel ni Rais wa Ghana na Katibu Mtendahi wa Secretariat ya Biashara Huru Africa..

Jukwaa hilo la Viongozi wa Africa kinafanyika Nchini Ghana na lotawakutanisha Viongozi kadhaa wa Africa Wastaafu na walioko Madarakani.

1685051930387.png
 
Kama anaenda kwa gharama zake/waliomualika hamna shida...asije akawa anatumia kodi zetu tuna matatizo meengi bado yanatukabili kama Taifa na hiyo ziara yake haina tija kwetu.
 
Watakuwa hawajafuatilia habari za hivi karibuni, si ameshaanza kudhani kila kitu ni yeye ndo mwanzilishi?

Umri unakuja tofauti kwa watu tofauti
 
Back
Top Bottom