Mstaafu Kikwete amtembelea Mwalimu wake kijijini msoga

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,630
Rais Mstaafu, Dk @jmkikwete amemtembelea mwalimu wake, Raphael Semindu Simon aliyemfundisha darasa la kwanza katika shule ya Msingi Msoga, mwaka 1958. Dk Kikwete amesema kufanikiwa kwake kumetokanan a mchango adhimu wa Mwalimu Simon.
FB_IMG_1564937145287.jpeg


Nb: Jakaya kikwete amefanya jambo LA maana sana , jambo hili unaweza hata kufanya wewe mdau wa JF si mpaka usikie waliowahi kupitia maishani mwako amefariki ni vizuri mkatembeleana mkiwa hai
kuna la kujifunza hapa.
 
Nami ngoja nijipange nikamtembelee mwalimu wangu kipenzi PK
 
Ana bahati kuwa na mwalimu wake wa darasa la kwanza. Nina umri wa kuwa mtoto wake ila walimu wangu walikuwa watu wazima karibu ya kustaafu enzi hizo na walishafariki siku nyingi.
 
Back
Top Bottom