Mssada jinsi ya ku unroot samsung galaxy s8.

Mssada jinsi ya ku unroot samsung galaxy s8.

1.Download kingo root for pc
2.Download driver for samsung
3.Fungua kingo root chomeka simu nenda hadi kwenye neno la UNROOT make sure umechomeka simu na network iko on kwa pc ikimaliza itakujuza ..
Kingo haowezi hyo kazi kwenye version 5 na kuendelea mbele
 
Na mimi ntaomba msaada jinsi ya kuroot tecno spark k8 maana nimechemka
 
Basi flash hiyo simu..umepewa maelezo hapo juu na wadau
Ushauri upi wa kuflash mkuu.

Kumbuka mimi ni layman kwenye haya mambo, naelewa vitu vidogo vidogo sana.
 
Habari zenu wakubwa.

Naomba msaada jinsi ya kuondoa root kwenye sim ya galaxy s8.

Nitashukuru kama nitapata msaada unaoelekeza mwanzo mwisho jinsi ya kuondoa root maana mimi sio mtaalam wa haya mambo ya simu.

Ahsante.
dawa yake ni ku flash simu
 
Mleta mada ukikwama nicheki nikufanyie remotely,vitu vya muhimu
1.computer
2.uwe na stable internet3.
3.Download na uinstall teamviewer kisha nipe id na pass
 
Back
Top Bottom