Msosi wangu wa leo

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,723

Attachments

  • 531752_442545735785335_1939856445_n.jpg
    95.9 KB · Views: 538
Last edited by a moderator:
Naomba niambiwe majina ya hivo vyakuja jamani

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Naomba niambiwe majina ya hivo vyakuja jamani

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hapo kuna ndizi zimechanganywa na njugu mawe pori. Mbona ni nyama sasa kule kwetu Bukoba huwa inachemshwa tu kwa kuweka kitunguu na mafuta ya mawese.

Hivo vidude vya mviringo sivijui kwa kiswahili lakini ni jamii ya nyanya chungu pori na vichungu zaidi ya nyanya chungu pori, kikwetu vinaitwa e'ntura.

Kwenye sahani hapo kuna kuna chakula aina ya a'masoma,samahani siyajui kwa kiswahili wala kiingereza.

Msosi huo ukipakuliwa kwenye majani ya mgomba alafu muuzunguke kwa kuuinamia basi ni balaa kwa utamu,zaidi ya bao la usingizini.
 

Duh tembea uone....ahsante sana kwa kunielewesha

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…