Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
thiioni hiyo lunch jamani
Wasiwasi wangu ni kuwa yawezekana kabisa wote tuliofungua hii thread ni wanaume, mi binafsi ni wakiume je wewe Heaven na wengine, heading ina sema 'Msosi kwa wanawake tu' check your self....
Ah njaaaaaaa hebu tuone basi huo msosi...
Jipooze kidogo!