Msonthi [worked in Tanzania and USA] appointed as deputy commander (MDF) Malawi Defence Force

of course Ben Saanane, kumbuka kuwa sisi hivi majuzi tumepandisha watu wengi vyeo jeshini kiasi kwamba hekima ilikuwa inatuambia tu kuwa kuna major structuring ya military in case of a military confrontation. Ningetegemea na Malawi nao wafanye hivyo hivyo. La maana sasa ni kuangalia movement ya fedha.

Mzee M/M
Kipi kinaagaliwa ktk movement ya pesa?


Amakweli watanzania, awamu ya nne chin ya jk tunahali ngumu. Wakati propaganda za uvunjifu wa amani unaenezwa na chama kilichomadarakani dhidi ya vyama vya upinzani/chadema, fukuto jingine kutoka nje linainuka kwa kasi. Ili nalo sijui watambebesha nani?
 
Tutumie mbinu ya kicheche mla kuku! kicheche ana tabia ya kujifanya kafa na tigo anaitegesha ikiwa wazi! kuku akiju kile chakula, akiingiza kichwa kwishnei!
 
of course Ben Saanane, kumbuka kuwa sisi hivi majuzi tumepandisha watu wengi vyeo jeshini kiasi kwamba hekima ilikuwa inatuambia tu kuwa kuna major structuring ya military in case of a military confrontation. Ningetegemea na Malawi nao wafanye hivyo hivyo. La maana sasa ni kuangalia movement ya fedha.

Kweli kamanda, movement ya fedha itatoa uelekeo mzuri. Kuna dots nyingi za kuunga hapa maana mikutano ya wamarekani na Joyce Banda na CNN Africa kuicover Malawi sana na kuonyesha ramani ya ziwa 'Malawi' ni another dots.
I know John Musothi in 1995/6 alipokuwa Life house kama mwambata wa kijeshi.... (ubalozi wa Malawi ulikuwa Life house,nadhani ghorofa ya 7/8). Veyi intelligent fellow...but like most men,very womanizer...
 
Even u appoint all soldiers to be deputies... tutawanyuka tuu tena viboko, hamtujui nyie.... just wait....!!!
R.B
 
Last edited by a moderator:
Hii ni strateggy ya ku-boost morale ya wanajeshi wa Malawi na kuifanyia Tanzania vita ya kisaikolojia.

Inaonekana confidence yao dhidi ya Tanzania iko chini sana

Inawezekana ikawa kweli kwamba morali ya askari wa Malawi iko chini, lakini pia inawezekana ni vita ya kisaiokolojia dhidi ya Jeshi la Tanzanoia unaposikia Afisa wa Ubalozi aliefanya kazi hapa nchini na sasa anakuwa kiongozi wa ngazi ya juu jeshini, picha inayokuja ni kwamba anaijua vizuri TZ na pengine Jeshi letu, lakini mimi nasema hivi, Kama mnamfukuza mwizi, miongoni mwenu wawepo wanaopiga kelele za kujigamba "tunakuja kukukamata".... na kele za kumtisha mwizi, na kukawapo wengine wanaofukuza kimyakimya, msimamo wangu ni kwamba wale wanaofukuza kimyakimya wanaweza kuwa serious zaidi kuliko wenye vibweka! Katika hili siachi kuwapa moyo Watanzania wenzangu kuwa msikate tamaa na kuanza kuhangaika mioyoni mwenu! Kila nchi ina mbinu zake! Usitamani zetu zifanane na za kwao!
 
Back
Top Bottom