Msongomano soko kuu k/koo: Mtoto aaga dunia; serikali ya DSM itenge barabara ya kuingia na Kutokea

Maeneo mengi ya jiji yana maduka,ukiangalia Mbagala,Tandika,Gongo la Mboto,kindoni,Mwenge,lakini kitu cha kushangaza,wakazi wa maeneo hayo yote,wanakimbilia kariakoo,kwa kusema bei ni rahisi.
 
Back
Top Bottom