Stephen Covey anasema hivi ' Between stimulus and response there is a space. In that space lies our freedom and power to choose our response. In those choices lie our growth and our happiness.'
You can choose your response and get your freedom kwa kuongeza gap. Take all the time you need to make decisions especially zinazohusu mahusiano. Na pia take time to value things and people. Mbona unaweza kutendwa tu na kuendelea na maisha? Kuna watu wanajiua wakipata hasara ya biashara. Lakini ukijipa muda unagundua kama nilipata hizi nikiwa sina uzoefu kabisa, seuze sasa najua nilipokosea? Kama uliweza mpata mpenzi, ama kuwa na ndugu karibu, wako wangapi walio bora zaidi wanaoweza kuchanganua maisha yako? Take it easy.
Binafsi, kuhesabu baraka zangu kunanifanya nisiwe desperate kwa lolote. Sio mtu, upendo, mali, mavazi ama chakula. I can survive bila vyote hivyo. Attitude can take u anywhere
@Kaunga .umenifurahisha sana hapo, .ila nikuulize, pamoja na kutojali huko?
somewhere back in your mind hakuna ile Guilty Consciousness kwamba unachofanya ni
kinyume na ulivyokuzwa/kulelewa?
@Kaunga .umenifurahisha sana hapo, .ila nikuulize, pamoja na kutojali huko?
somewhere back in your mind hakuna ile Guilty Consciousness kwamba unachofanya ni
kinyume na ulivyokuzwa/kulelewa?
Unalia umekuwa mtoto?
hajawai huyoooo tena aombe kweli yasimkute
…..heheheh!,…..hujawahi #KuharibiwaMaisha wewe ukaona uchungu wake,
hizo theory zote huwa hazifanyi kazi Ujue?!
Hii topic ni nzuri sana, thanks Mbu
Nitabaki kama msomaji nifuatilie michango yote. Damn! Nilipitia kitu fulani nilihisi ndiyo mwisho wangu. C'est la vie!
Inasaidia sana ukiongea,
hasa kwa watu unaowaamini na wanaokuruhusu kuonyesha kuumia kwako. Sio
unamweleza mtu shida zako na unajisikia kulia anaanza 'nyamaza', niwache
nilie, ndio maana nimekuja kwako angalau kuonyesha na kukubali kuwa am
human, asometimes nakuwa vulnerable and weak.
Ukitoka hapo uki vizuri kichwani
Sasa hio ndio mbaya ni vyema mtu akiwa ana njia ya kuconcur hasira zake aidha kwa kulia au mfano atembee mwendo mrefu au afunguke kongea na mtu kuliko kulia kimoyomoyo hio ndio hatari...Kwasababu unaweza uchukue maamuzi ya ajabu sana yanayoweza kuhatarisha uhai wako!
..sasa si mpaka uwe umekuzwa katika mazingira ambayo it is Ok kulia, .
fikiria mtu ambaye amekulia katika mazingira ambayo, alipokuwa analia ndio kwanza
alikula mikwaju zaidi "anyamaze kulia, !"
Wanaume wengi sie hulia kimoyo moyo! .yaani, unayashindilia mauchungu mpaka yakija lipuka na
watu wajue kilio chako, tayari kuna majeruhi au maafa...
hii huwa naipenda sana. Inanisaidia kujitafakari....
Huwa kitu cha kwanza kukifanya ni kujifungia na kulia sana, yaani nalia mpaka nione nimetosheka......
Ninapomaliza hapo huwa naanza kutafakari kilichotokea, naweka issue kwenye angle zooteee. najaribu kujiweka kwenye shoes za aliyenitenda, kama ningekuwa mimi ningefanya hivyo? namuhukumu na kumtetea mimi mwenyewe. Nikijiridhisha naanza kusali, kwenye process nampa msamaha (ndani ya moyo wangu). Nikishamsamehe nakutana naye kumtaarifu nimemsamehe na kujadili the way forward (kuendelea au kummwaga).
Mh! Usiombe kuwa na msongo wa mawazo hasa unaosababishwa na mapenzi wenye roho nyepesi ndio hao 2naowasikia wakijiripua! But kila mmoja ana njia yake ya kuondoa ama kupunguza msongo wa mawazo lakini njia nzuri ninayoiona mimi ni ile ya kukaa mwenyewe kwa muda huku ukitafakari kwa kina kisha kujipa moyo na kuignore na mwisho kabisa kumuomba mungu + kuwa bize na shughuli kama kazi ama masomo ,kanisani n.k otherwise u will end up crying au kuacha shughuli muhimu zikupite huku aliyekusababishia msongo huo wa mawazo akila raha zake!! bad sana!!