Mkuu huko nadhani zipo za BE BACKWARD tu, hawa ni wakwetu sisi tuHivi huko pia zipo zile za BE FOWARD
Mkuu huko nadhani zipo za BE BACKWARD tu, hawa ni wakwetu sisi tu
Hizo siyo picha za dubai hakuna sehemu au barabara kwa pale dubai zinapita gari za aina moja kama ulizoweka hapo kwanza magari ya aina hiyo kwa dubai siyo mengi kiivyo, wale jamaa wana magari ndugu yangu mazuri halafu makubwa japokuwa na madogo yapo lkn siyo model hiyo many of them are luxury cars, hadi taxi za hapo dubai ambazo zinamilikiwa na serikali ni nzuri na mpya kwani hakuna mtu binafsi anaruhusiwa kufanya biashara ya taxi hapo dubai, gari inayotumika pale dubai kama taxi ni luxury ambapo ukiiona huku kwetu basi anatumia mtu mwenye uwezo kifedha kabisa, mfano zipo toyota camry nk lkn zinakuwa mpya siyo used mkuu

Hii nadhani wamiliki wa super cars walikutana pamoja kwenye event zao huwa wanaandaa monthly. Nimeona Dubai wanaandaa sana event kama hizi kwaajili ya super cars
Wewe jamaa unachekesha......eti Dubai wana magari wakubwa mazuri.Hizo siyo picha za dubai hakuna sehemu au barabara kwa pale dubai zinapita gari za aina moja kama ulizoweka hapo kwanza magari ya aina hiyo kwa dubai siyo mengi kiivyo, wale jamaa wana magari ndugu yangu mazuri halafu makubwa japokuwa na madogo yapo lkn siyo model hiyo many of them are luxury cars, hadi taxi za hapo dubai ambazo zinamilikiwa na serikali ni nzuri na mpya kwani hakuna mtu binafsi anaruhusiwa kufanya biashara ya taxi hapo dubai, gari inayotumika pale dubai kama taxi ni luxury ambapo ukiiona huku kwetu basi anatumia mtu mwenye uwezo kifedha kabisa, mfano zipo toyota camry nk lkn zinakuwa mpya siyo used mkuu
Kule hakuna toyo, na huwezi kuona sijui verossa, brevis landcruiser mkonga, carina, crown nk, most expensive cars zinazotengenezwa duniani ziko pale dubai na magari ndiyo ulevi wa wale warabu.duu! hakuna toyo?