Natumaini wote humu ndani tunaendelea kuchapa kazi kama ilivyoasisiwa na watangulizi wetu
Mimi kama mwananchi wa kawaida kila nikiwaza kua kuna vitu ambavyo naweza kuviona bila kutumia nguvu wala akili kubwa na wahusika hawavioni ama wanaviona ila wanavipuuza wakisubiria mpaka hali iwe tete naishiwa nguvu,
Inamaana nyie viongozi wa jiji la Mwanza hamuoni kitendo cha bajaji kuruhusiwa kufanya routes za kutoka pembezoni kuingia mjini kati kinaenda kuleta foleni na msongamano usio wa lazima
Kama hamjaliona hilo, basi niwaombe mfungue macho yenu mliepushe jiji hili na adha hii inayoenda kutokea muda si mrefu, tumieni Jiji la Daresalaam kama reference
Mkishindwa mtasaidiwa
Nawasilisha,