Msomi

Aug 8, 2016
98
81
Elimu yetu inakwenda wapi Kwa hali hii?
48501ed5d06c184c9c9e3d6c14530622.jpg
 
Huyo dogo kiingereza anakimudu vizuri ila hana maarifa. Kumbe syllabus ya historia sekondari formII hapa nchini ina mada inayohusu vikundi vyenye malengo mbalimbali.
Dogo kanichekesha kwelikweli kwenye jibu lake.
Caveat: Mleta mada usishangae kuikuta hii essay ya dogo kule jokes kwani nina nia ya kuipeleka huko wana jf kindakindaki wa huko waburudike.
 
Hahaha
Muda mwingine wazazi wawe wanawasoma watt wao. Sio kila mtoto awe daktari na rubani, hata chuo cha bagamoyo ni sehemu mtoto anaweza kuonesha kile alichonacho
 
Back
Top Bottom