Jamaa yupo na nondo kabsa
Kama kawa kama dawa akifaulu ni bonge la injinia Allahu akbaru
Jamaa yupo na nondo kabsa
Hii sura si yaelimu sema wazazi hawajagundua tu kipaji chake halisi!
Ana kipaji gani mkuu? Hebu tusaidie ha ha ha
kwa siye waalimu ukiona hali kama hii tayari tunajua kwamba apa tumemla kichwa
uyu ata class sio muingiaji ndo wale pombe kwa sana, sigara kwa sana af ugumu kwa sana
akiwatisha wenzie mie sisomagi ila huwaga nafaulu tu
Kwa uandishi huu hata wewe ukiingia kwenye chumba hicho utakuwa kama huyo bwana.kwa siye waalimu ukiona hali kama hii tayari tunajua kwamba apa tumemla kichwa
uyu ata class sio muingiaji ndo wale pombe kwa sana, sigara kwa sana af ugumu kwa sana
akiwatisha wenzie mie sisomagi ila huwaga nafaulu tu
hahahahaha.................nataman ungenijua vzrKwa uandishi huu hata wewe ukiingia kwenye chumba hicho utakuwa kama huyo bwana.
Kwa uandishi huu hata wewe ukiingia kwenye chumba hicho utakuwa kama huyo bwana.
Teacher huyo wewe.Hii ndo Tanzania.Sasa jiulize huyo anayefundishwa na mwalimu wa namna hii anajibuje mtihani kama mwalimu wake tu anaandika hivi.
Mkuu haojawahi kuthibitika kwa aslimia zote kuwa mtihani ni kipimo sahihi kuonesha ujuvi wa mtu katika somo analo jibidilisha kwalo.
Wataalam wa maswala ya elimu bado wanahoji inakuwaje mtu akasoma kwa muda wa lets say mwaka au nusu muhula halafu eti unampima kwa kumkalisha kyjibu maswali kwa muda wa lisaa au mawili hata matatu!
Ndo maana ktk maeneo mengine ya elimu mrihani wa kuandika si kitu wala lolote!