Msomi wa IT anapotongoza.

Msomi wa IT anapotongoza.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,651
Hellow dear.unajua nilipokuona kwa mara yakwanza nili vibrate kama nokia ya tochi.naomba unipe ushirikiano nataka ni install penzi langu ktk hard disk ya cpu yako.nimekuwa mvumilivu kwako kama ram ya 125 katika hard disk ya 500 GB ukiwa wangu nitakupamba kama blog yangu.sintokuwa mbari na wewe kama monitor na cpu nitakupenda kama download link za bure. Naomba ukubari maana ukinikataa nitakuchukia kama trojan,autorun, na virus wengine.
 
Nitaku scan kwa ant virus ili wanyemeleaji wasikupate.
 
Hellow dear.unajua nilipokuona kwa mara yakwanza nili vibrate kama nokia ya tochi.naomba unipe ushirikiano nataka ni install penzi langu ktk hard disk ya cpu yako.nimekuwa mvumilivu kwako kama ram ya 125 katika hard disk ya 500 GB ukiwa wangu nitakupamba kama blog yangu.sintokuwa mbari na wewe kama monitor na cpu nitakupenda kama download link za bure. Naomba ukubari maana ukinikataa nitakuchukia kama trojan,autorun, na virus wengine.

Huyu msomi ni IT
 
Nahitaji twende kwangu nikaku upload ma file.
 
Huyu Msomi lazima atakuwa MUHA ila siyo wa UJIJI, maana kajaza ma RI RI RI kibaooooo....

MbaRi......., UkubaRi, ............. ila Kiingereza ni RICHABO....
 
nadhani output device yako ni compatible kabisa na input device yangu
 
Huyu Msomi lazima atakuwa MUHA ila siyo wa UJIJI, maana kajaza ma RI RI RI kibaooooo....

MbaRi......., UkubaRi, ............. ila Kiingereza ni RICHABO....

nimesikia mna u-ndugu maana MUHA na MNYAMWEZI asili yao ni kongo.teh teh teh teh(joke)
 
Back
Top Bottom