Msomi wa IT anapotongoza.

Msomi wa IT anapotongoza.

Hellow dear.unajua nilipokuona kwa mara yakwanza nili vibrate kama nokia ya tochi.naomba unipe ushirikiano nataka ni install penzi langu ktk hard disk ya cpu yako.nimekuwa mvumilivu kwako kama ram ya 125 katika hard disk ya 500 GB ukiwa wangu nitakupamba kama blog yangu.sintokuwa mbari na wewe kama monitor na cpu nitakupenda kama download link za bure. Naomba ukubari maana ukinikataa nitakuchukia kama trojan,autorun, na virus wengine.
Angalia huyo binti asije akawa ana ku restore ktk recycle bin aliyokuweka b4,alafu akaja kukudelete permanently!!
 
Hellow dear.unajua nilipokuona kwa mara yakwanza nili vibrate kama nokia ya tochi.naomba unipe ushirikiano nataka ni install penzi langu ktk hard disk ya cpu yako.nimekuwa mvumilivu kwako kama ram ya 125 katika hard disk ya 500 GB ukiwa wangu nitakupamba kama blog yangu.sintokuwa mbari na wewe kama monitor na cpu nitakupenda kama download link za bure. Naomba ukubari maana ukinikataa nitakuchukia kama trojan,autorun, na virus wengine.

Haya bana!!!!!
 
mimi na wewe ni kama mouse na keyboard kwa komputer milele sita kuacha kama junk mail, I will always be there even when no one drop by.
 
Acha abembeleze tu sisi hackers tunakuja kuhack hata kama ataweka firewall mi mtaalamu wa ku crack
 
Back
Top Bottom