Msiwe mnalala lala ovyo!!!

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
36,208
2,000
huo mdomo hahahah ukiweka kitu kinapitiliza hadi tumboni
 

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
May 24, 2008
3,736
1,225
ukicheki gari za abiria za bunju posta, mbezi posta, mbagala feri kwa mida ya asubuhi karibia wote wanakuwa wamelala kisa mafoleni na kudamka mapema
 

cacico

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
8,377
1,250
Huwa najitahidi sana kutokulala kwenye madala dala, lol!! Avatar ya NKADABWI nayo chiboko!!
 
Last edited by a moderator:

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,135
2,000
ukicheki gari za abiria za bunju posta, mbezi posta, mbagala feri kwa mida ya asubuhi karibia wote wanakuwa wamelala kisa mafoleni na kudamka mapema
Raia wengi wa Mbezi Mwisho, Bunju, Gongz, Tegeta, Mbagala n.k...majumba yao wameyafanya ni sehemu ya kulala ila technically wao huishi ofisini...
 
Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Jidu La Mabambasi Wana Mbeya, sikilizeni msiwe wabishi! Jamii Photos 51
MziziMkavu Akina dada wanavyo lala usiku Jamii Photos 12
ngosha mchele Ukichoka lala Jamii Photos 10
Gogle Ukichoka lala Jamii Photos 4
Red Scorpion Ukichoka lala! Jamii Photos 12
Similar threads

Top Bottom