Msitusemeseme tena wanaume wa Dar

samakinchanga

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
2,024
1,232
Mliona wenyewe kwenye sanduku la kura, pia amshaamsha kwenye mikutano ya kampeni. Umeya unaibu meya,ndo tumelianzisha hivo. Mambo ya kusema ohh tunakula embe ya kuweka chumvi sijui chips hukohuko tena mtuheshimu.
 
sawa ila bado najiuliza mliwezaje kuingia uvungini mwa vitz wanaume kumi kuwaogopa panya road?? (joke) ha ha ha
 
Kuna mijanaume ya dar! na wanaume halisi wa dar! mtutake radhi! wanaume halisi
 
Back
Top Bottom