Msitukane Wapenzi, na mapenzi yangalipo.............

MwanajamiiOne asante sana
Ila mapenzi ni kizunguzungu ni balaa
Yaache yaitwe mapenzi

Mr Rocky when in love just enjoy the moment, its better hata yakiishia njia panda ni bora ukabaki na .... S/he didint deserve my love, it wasnt meant for me kuliko kubaki na .... ningelijua ningemtreat hivi...... hii ya pili itaku-haunt for ever.
 
Sometime unajitahidi kufanya kila jema at least mpenzio afurahi na wewe ufurahi kuwa nae ila matokeo yake ni majuto na maumivu
Kweli ninge...... sio nzuri sana ila unapojikuta umefanya kila linalowezekana ila matokeo yake yanakuwa kinyume sana ni mbaya sana
 
LOVE ...... LOVE ............ LOVE ......... !!!!!!!!!

A strange felling of wanting and not wanting.

A strange acceptance of the need to be .............. !!!!!!!!!!!!

LOVE is more than thirst, hunger, and asphyxiation all put together.

Keep on loving all JF members. For without love there would be no civilisation.
 
Mbona tutakoma mwaka huu....mpaka mashairi ya taarabu ndani ya house, lol!!! Nimekomaaaa

Jamani Ndahani mimi ninawakumbusha tu kure-candle your love.............tunajisahau sana aisee. Kumbukeni kuwa
Mwanaume/ke kusifia hakukushushii heshima wala uanaume/ke wako. So kuonyesha kuwa unammiss,kumbuka, feel mpenzi wako kunaboresha mapenzi. Tusijejuta kama
LES WANYIKA - Afro - YouTube
 
Jamani Ndahani mimi ninawakumbusha tu kure-candle your love.............tunajisahau sana aisee. Kumbukeni kuwa
Mwanaume kusifia hakukushushii heshima wala uanaume wako. So kuonyesha kuwa unammiss,kumbuka, feel mpenzi wako kunaboresha mapenzi. Tusijejuta kama
LES WANYIKA - Afro - YouTube

Asante kwa kunikumbusha...ila it takes two to tangle! Kwahiyo sio mambo ya kila mwamba ngozi awe anavutia kwake. Tujue pia mapenzi yanahitaji baadhi ya mambo yetu binafsi tucompromise....mapenzi haya sijui yakoje lakini...kila siku story yaani haziishi
 
Back
Top Bottom