Msitiri anahitajika (MUME)

Pm yangu naona inagoma best yangu mm sifa zangu ni kama ifuatavyo
Elimu-diploma
Kazi-nimejiajili
Umri-30
Umbo- si mwembaba sana
Rangi-maji ya kunde
Urefu-172
dini-musli
Sifa kubwa nilionayo-mcheshi sana
Makazi-dar

Yaani uone mtu kakuzidi umri? Dah
 
GCM_RCM Nimefurahishwa na ujasiri wako na zaidi kipaumbele chako kuwa Dini. Tofauti ya dini ktk ndoa kiukweli ina taathira kubwa kwa watoto na familia za pande zote. Faswabran jameel, kwani siku si nyingi Allaah atakuletea mwenza mwenye kheir nawe
 
Last edited by a moderator:
Laiti kama baba wa taifa angekuwa hai na kuuona uzi huu wa kibaguzi hakika angemkemea sana mtoa uzi. Ubaguzi kwenye elimu, dini, umbo na umri sio wa kuvumiliwa hata kidogo.
 
GCM_RCM mbona hujajibu meseji yangu kwenye email yako bwanaa
 

kwa jina la allah/mwenyezi mungu huu ushauri uzingatiwe na wadada wote wenye sifa na hitaji kama lako.amen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…