Wanajamvini habari za jioni.
Kuna jambao ambalo limekuwa likinitokea mara chache2 leo nikasema ni bora niliweke hapa ili kujua kama ni kwangu tu na je kama ni kwangu ni tatizo au ni hali tu ambayo inatokea.
Mimi bado cjaoa ila nlikuwa na mpenzi ambaye niliishi naye kama miaka mitatu kabla ya kufikia lengo la kuona tukaachana,lakini wakati nikiwa naye kuna jambo ambalo lilikuwa likinisumbua akili.
wakati nikiwa kwenye mahusiano nilikuwa na rafiki mmoja wa kike ambaye tulikuwa tukichati naye kwa karibu sana na tukawa tumezoeana sana kiasi cha kufikia kupanga kufanya mapenzi,na kwakuwa yeye anaishi kwake basi tulipanga siku na mimi nikaenda kwake ambao ilikuwa ni wikiendi na kukaa kwa takribani siku mbili tatu.
Kama kawaida unavyojua kunapokuwa na jinsi mbili lazima matamaniyo yawepo basi nilifika kwake na timaye kukaa kula cha mchana na tukasubiri usiku akaandaa vizuri chakula cha usiku tukala,tukanywa na hatimaye tukasubiri muda wa kuanza kufanya mapenzi,ila kilichonishangaza ni kwamba uwezo wangu wa kufanya mapenzi ulishuka sana yaani tuilianza maandalizi lakini wakati wa kutaka kupanda jugoo haliwiki.
Nilijaribu kama mara mbili japo nilifanikiwa lakini uwezo wangu ulikuwa ni wa tofauti,ujue kuwa nilikuwa na mpenzi na nilivyorudi kukutana tena na mpenzi wangu nilifanya mapenzi na uwezo wangu ulikuwa mzuri tu na tatizo kama hilo halikuwepo.
wadau naomba mnisaidie tatizo hapa litakuwa ni nini?