Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,920
- 3,753
Kumamaaake MAGUFULI atakumbukwa alikuwa hataki usenge serikalini, kama nchi ungekuta atua ishapigwaHuoni kama chama chako ndio kinamtesa mzazi wako zaidi ya wewe unavyomsaidia?
Pole sana dadaLeo umetupia bonge la point. Laiti kama wazazi wangu wangekuwepo basi Leo dada ningekuwa mwingine kabisa.....
Maguful kwel alikuwa mwambaKumamaaake MAGUFULI atakumbukwa alikuwa hataki usenge serikalini, kama nchi ungekuta atua ishapigwa
Sasa ni mala RUSHWA na mafisadi ndo yameshikilia nchi kumanina zao
CCM inahusiana nn na wazazHuoni kama chama chako ndio kinamtesa mzazi wako zaidi ya wewe unavyomsaidia?
uchawa upi huo mkuuTrue , make ur parents proud ila achana na uchawa just be a guy with strict code .
Atakuambia wazazi haukuwaomba wakuzae kwahiyo kukulea ulikuwa wajibu wao
Yeah ni wajibu wao ndio , na kumpa chochote ni hiyari yangu na sio lazimaAtakuambia wazazi haukuwaomba wakuzae kwahiyo kukulea ulikuwa wajibu wao
CCM inahusiana nini na ulicho andika kuhusu kuwapenda wazazi na kuwajali?CCM inahusiana nn na wazaz
Exactly.Atakuambia wazazi haukuwaomba wakuzae kwahiyo kukulea ulikuwa wajibu wao