Msisahau kuwa tunadaiwa lakini

Litakuwa limeongezeeka hadi kufikia jana .
 
Tatizo mwananchi wa kawaida hajui hata nchi hii licha ya yeye mwenyewe ina madeni makubwa ya kutisha. Na serikali tukufu ya CCM haituhamasishi jinsi ya kupunguza deni hili kubwa! Tunatamba uchumi umekua kumbe nyuma ya pazia tunadaiwa sana.
 
anayeweza kuniandikia kwa maneno tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Thanks MziziMkavu kwa kuiweka clear hii picha maelezo yake sasa yanasomeka vyema mwenye macho haambiwi tazama
BTW hii mihela yako yote hii una uhakika gani kama ukiwapa waende kulipa watalipa kweliiii????
Mafisadi watatumbuwa hayo mapesa ngojea nchi iuzwe kwa Wazungu au Waarabu waje huko kututawala.Mkuu.@mshana jr
 
Mafisadi watatumbuwa hayo mapesa ngojea nchi iuzwe kwa Wazungu au Waarabu waje huko kututawala.Mkuu.@mshana jr

Aisee MziziMkavu hivi unajua tayari nchi imo mnadani hii? Raslimali za Taifa zinapokuwa mikononi mwa wageni kwa kiasi kikubwa basi ujue tumeshaumia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…