Msipoweza kujitawala, mtatawaliwa

Msipoweza kujitawala, mtatawaliwa

Chief unahangaika sana! Unaboa halafu hujui kama unaboa.
Wewe na umri wote huo hujui kusima mwenyewe kwa mawazo yako? Na wewe ni mtu katika watu wanaoitakia mema Tanzania??
Usituchoshe bana!
Mkuu Capitofool, pole sana!, jf ni free forum yenye maximum freedom of expression, members wako huru kupost chochote freely bila kujali watamfurahisha nani au watamuudhi nani, na ikitokea kuna mtu ana ku bore, then una mu ignore, hutakaa uone posts zake. Siwezi kuogopa to express my opinions kwa sababu ya Capitofool mmoja ataboreka na posts zangu!.

Na kwa ushauri tuu wa bure, next time, ukikutana na posts zangu, just save your precious time.

P
 
Lengo si kuingilia uhuru wako, lengo ni kutaka 'ujitambue' kama mwanaume/mtu ambaye jamii inakutazama. Msimamo ni jambo la muhimu na la msingi sana ESP. kwa mambo muhimu yanayoligusa Taifa.

Sio kila side wewe upo tuu kama jinga fulani hivi, walisema wazeee ulimwengu hufunza kama hukufunzwa, nami nafanya ulio wajibu wangu hapa.

Man UP!!
 
Hiyo ndio demokrasia, nami nawaheshimu na kuamini kuwa katika uwanja wa demokrasia unaweza kusikia hata yale ambayo kwa mwingine ni ndoto. Kuna mwazo A, B, C na ....... Vile vile kuna weza kukawa na mawazo AB, au AC au CB, BC hata ABC. Voda wanaita JIMIXIE. Kiukweli inabidi tuheshimu mawazo yote, muamuzi siku ya mwisho ni mtu mmoja mmoja binafsi. Nawakilisha.
 
Sawa chief nimekusikia.
 
Back
Top Bottom