Msiotaka kuandamana someni hapa.

Msiotaka kuandamana someni hapa.

Mbweha tunaandamana
ec78699eaadd5a30ed6670b2ebe2936b.jpg
Hata wakiandamana watanzania wa Diaspora dunia nzima....ninauhakika kwa nchini Tanzania hilo halitakuwepo na yoyote atakayejifanya mwamba akapeleka mguu wake barabarani yatakayomkuta huko asije akasema hakuambiwa kama atarudi mzima kwa familia yake.
 
Kuna uzi humu unaosema "Wanaotaka kuandamana someni hapa"

Huu nao ni kinyume chake.

Mods hatutaki double standards.
f3c7e9c77aeaad1722d417b54e3ec63b.jpg
Baada ya kuandamana Kuna Mgao wa Pesa au ? Ili niache shughuli zangu niandamanae
 
Baada ya kuandamana Kuna Mgao wa Pesa au ? Ili niache shughuli zangu niandamanae
Unashuguli gani muhimu wwkati unaishi kwa shemeji yako. Siku dada ako akimkatikia vizuri ndyo anakupa pesa ya Bando unakuja kutusumbua humu ndani.
 
Tujifunze kutumia akili kidogo. Siyo kila misemo inaendana na nyakati zilizopo au tulizonazo. Hata misemo mingi ya Wahenga wetu ukiifuatilia kwa makini 90% yake kwa sasa haina tena nafasi katika Jamii yetu. Bado nazidi kusisitiza kwamba msijidanganye kutaka kufanya hilo mnalolipanga kulifanya kwa msaada wa hamasa ya Dada yenu wa Ughaibuni kwani mnaweza mkaja Kujuta na Kujilaumu sana.

Yangu ni hayo tu na Kila la kheri!
Mbona watu wameshajuta sana?waulize hawa,familia za mawazo alfons,tundu lisu,daniel john,saa8,nk
 
Unashuguli gani muhimu wwkati unaishi kwa shemeji yako. Siku dada ako akimkatikia vizuri ndyo anakupa pesa ya Bando unakuja kutusumbua humu ndani.
afadharii hiyo siyo kusubiri amri ya huyo kiumbe MANGE nanilipa nini huyo mpaka niandamane nipo kwa Shem nakula ugali wake
 
Back
Top Bottom