Msiotaka kuandamana someni hapa.

Msiotaka kuandamana someni hapa.

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,691
Kuna uzi humu unaosema "Wanaotaka kuandamana someni hapa"

Huu nao ni kinyume chake.

Mods hatutaki double standards.
f3c7e9c77aeaad1722d417b54e3ec63b.jpg
 
Wale tusiotaka kuandamana tunasubiria VYEREHANI vyetu majumbani kwetu.
 
Itakuwa hizi nukuu za Baba wa Taifa hawa vioñgozi wetu hawazielewi ama haziwahusu...
 
Itakuwa hizi nukuu za Baba wa Taifa hawa vioñgozi wetu hawazielewi ama haziwahusu...
Tuliyo nayo ni CCM B. Siyo ile ya Nyerere au Kawawa au Kingunge. Hii ni ccm vunja vunja sio ile CCM jenga taifa
 
Kuna uzi humu unaosema "Wanaotaka kuandamana someni hapa"

Huu nao ni kinyume chake.

Mods hatutaki double standards.
f3c7e9c77aeaad1722d417b54e3ec63b.jpg

Tujifunze kutumia akili kidogo. Siyo kila misemo inaendana na nyakati zilizopo au tulizonazo. Hata misemo mingi ya Wahenga wetu ukiifuatilia kwa makini 90% yake kwa sasa haina tena nafasi katika Jamii yetu. Bado nazidi kusisitiza kwamba msijidanganye kutaka kufanya hilo mnalolipanga kulifanya kwa msaada wa hamasa ya Dada yenu wa Ughaibuni kwani mnaweza mkaja Kujuta na Kujilaumu sana.

Yangu ni hayo tu na Kila la kheri!
 
Pingana na hoja na si mwanzilishi wa hoja.
 
analazimisha tumuombe tuna tii kwa kuwa tunamuogopa,kwa kuwa tu wanafiki tunamuombea na kujipendekeza eti tuna muunga mkono.Tunasubiri mauti yetu ya kiuchumi TZ ya viwanda

Ataombewa na wajinga au wanafiki nani hata ana uwezo wa kuhangaika naye.............. na nimesikia hata akienda kanisani huwa hata uwepo wa Mungu unatoweka maana inakuwa kama ni Lucifer kaenda huko
 
Kama dume andamana nimwendo wa machozi na pyupyu mpaka mnyoke
 
Tujifunze kutumia akili kidogo. Siyo kila misemo inaendana na nyakati zilizopo au tulizonazo. Hata misemo mingi ya Wahenga wetu ukiifuatilia kwa makini 90% yake kwa sasa haina tena nafasi katika Jamii yetu. Bado nazidi kusisitiza kwamba msijidanganye kutaka kufanya hilo mnalolipanga kulifanya kwa msaada wa hamasa ya Dada yenu wa Ughaibuni kwani mnaweza mkaja Kujuta na Kujilaumu sana.

Yangu ni hayo tu na Kila la kheri!
Haki si ya watu kadhaa katika jamii.

Ccm watafakari,hata kama wengi mna furaha kama kuna wachache wana shida busara ni kutatua tatizo kwanza.

Kwa sasa sijui,maana matatizo hayatatuliwi bali visingizio na kujifanya sio wao,ni wale,waisome tu.
 
Huu ndo mda wa vijana wa wetu kutoka polisi na ffu kufanya maZoezi kwa vitendo na kufundishwa practical...sio tunakuwa na jeshi la polisi dhaifu...vijana andamaneni tu..polisi wafanye mazoezi kwa vitendo hatutaki jeshi la polisi linalobweteka..
 
Tujifunze kutumia akili kidogo. Siyo kila misemo inaendana na nyakati zilizopo au tulizonazo. Hata misemo mingi ya Wahenga wetu ukiifuatilia kwa makini 90% yake kwa sasa haina tena nafasi katika Jamii yetu. Bado nazidi kusisitiza kwamba msijidanganye kutaka kufanya hilo mnalolipanga kulifanya kwa msaada wa hamasa ya Dada yenu wa Ughaibuni kwani mnaweza mkaja Kujuta na Kujilaumu sana.

Yangu ni hayo tu na Kila la kheri!
Mkuu acha kujifanya pafekt sana,
 
Mkuu acha kujifanya pafekt sana,

Jeuri yangu Kuu na Kiburi changu chote kinatokana na haya mambo makuu matatu
  1. Intelligence
  2. Knowledge
  3. Exposure
Kama hivyo Wewe huna basi ni Kosa lako au laumu pia na Uzao wako kwani Psychologically tu hivyo vitu Vitatu tajwa vinaanzia katika Familiy level na pia jinsi ulivyokuzwa na hata Shule au Vyuo ulivyopitia au muda wako mwingi huwa unakaa na akina nani. Hiivi kama 99% ya Watu ambao unakaa nao au wanakuzunguka au unabadilishana nao mawazo kama wakiwa Mangumbaru / Wajinga unadhani na Wewe unaweza ukabadilika chochote?

Kwa leo naomba tu nikuache na hii na sana sana tu nikutakie Kila la Kheri katika kuendelea Kwako Kuchukizwa nami.
 
Zamani alama ya jembe na nyundo vilikuwa na maana kubwa sn lkn siku hizi tafsiri yake ni mbaya na aibu kwa taifa
 
Back
Top Bottom