Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,175
- 48,459
Lini Chadema imewahi kuongoza nchi hii hata useme wameiharibu?CHADEMA MAFALA TU . CHEKINI MLIVYOIHARIBU NCHI KWA MIHEMKO NA MATUSI YENU . VIJANA WENU WOTE MIDOMO YAO MICHAFU.
Umemaliza kazi. Kazi yako haina makosa!Mwaka 2015 kuna kiongozi mmoja wa CHADEMA ngazi ya Jimbo alikwenda kwenye Kijiji fulani ndani ya Jimbo lake na kukuta uongozi wa Kijiji hicho ni CHADEMA. Akashangaa Sana.
Alipouliza imekuwaje viongozi wa Kijiji kile kuwa wa CHADEMA, akaambiwa ni wananchi wenyewe waliamua wawe CHADEMA na kupambana kuweka viongozi wa Kijiji toka CHADEMA.
Viongozi wa CHADEMA huwa wanashangazwa na jinsi wananchi wa kawaida kabisa wanavyoijenga CHADEMA.
CHADEMA ni watu wa kawaida kabisa wenye uzalendo kwa nchi yao. Imani yao Iko Kwa CHADEMA na siyo kwa watu wanaoiongoza CHADEMA pekee.
Ndiyo maana hakuna mtu atatoka CHADEMA halafu CHADEMA isiwe CHADEMA.
CHADEMA NI IMANIUko sawa chadema si viongoz tunaowaona ila chadema ni watanganyika tn wabangaizaji tu ambao mkapa aliwaita malofa hao ndo chadema na hili linawatesa sn ccm maana wanawahonga viongoz wa chadema kuhamia ccm halafu knaibuka kchwa kngne htr kuliko kilichotoka.
Aisee!!!!Chadema ipi unayoiongelea? Hii hii ya bawacha, bavicha na bazecha?
Kazi kweli kweli
CHADEMA MAFALA TU . CHEKINI MLIVYOIHARIBU NCHI KWA MIHEMKO NA MATUSI YENU . VIJANA WENU WOTE MIDOMO YAO MICHAFU.
Kama nyie wenyewe mkikosoana ndani ya vikao mnakanyagana mateke. Kwa nin mkiingilia ya wengne msidhibitiwe nyumbu nyieAisee!!!!
Wewe ndiye yule uliyesema wapinzani wakipotea Polisi wasiwatafute?
Hakuna kitu kibaya kama kuua au kushabikia wauaji.Kama nyie wenyewe mkikosoana ndani ya vikao mnakanyagana mateke.
Ccm akitoka Kabudi anaingia Baba LevoMwaka 2015 kuna kiongozi mmoja wa CHADEMA ngazi ya Jimbo alikwenda kwenye Kijiji fulani ndani ya Jimbo lake na kukuta uongozi wa Kijiji hicho ni CHADEMA. Akashangaa Sana.
Alipouliza imekuwaje viongozi wa Kijiji kile kuwa wa CHADEMA, akaambiwa ni wananchi wenyewe waliamua wawe CHADEMA na kupambana kuweka viongozi wa Kijiji toka CHADEMA.
Viongozi wa CHADEMA huwa wanashangazwa na jinsi wananchi wa kawaida kabisa wanavyoijenga CHADEMA.
CHADEMA ni watu wa kawaida kabisa wenye uzalendo kwa nchi yao. Imani yao Iko Kwa CHADEMA na siyo kwa watu wanaoiongoza CHADEMA pekee.
Ndiyo maana hakuna mtu atatoka CHADEMA halafu CHADEMA isiwe CHADEMA.
Akitoka baba Levo anaingia Steve Mengele!!Ccm akitoka Kabudi anaingia Baba Levo
HahahaAkitoka baba Levo anaingia Steve Mengele!!
Afadhali hao panyaroad wana barabara... Huko vijijini mvua ikinyesha kidogo tu mawasiliano yanakatika.Chadema ni kikundi cha panyaroad.
Sasa mambo ya kjjn wewe yanakuhusu nn, ndo maana wafuasi wa chadema mnaonekana punguaniAfadhali hao panyaroad wana barabara... Huko vijijini mvua ikinyesha kidogo tu mawasiliano yanakatika.
Kwa ivo Tanzania hakuna vijiji? Wale mliokuwa mnawasomba kama ng'ombe kwenye malori wakati wa Kampeni kwani wanaishi wapi?Sasa mambo ya kjjn wewe yanakuhusu nn, ndo maana wafuasi wa chadema mnaonekana punguani
Mkuu unajua unachokiandika lakini au na ww unavyuma kwenye ubongo nin,Kwa ivo Tanzania hakuna vijiji? Wale mliokuwa mnawasomba kama ng'ombe kwenye malori wakati wa Kampeni kwani wanaishi wapi?
Kama kungekuwa na uchawi wale waliofanya yale mauaji ya 29Oktoba leo hii wangekuwa wameshalogwa!Mkuu unajua unachokiandika lakini au na ww unavyuma kwenye ubongo nin,
Nyie michadema sijui mna laana nadhani hayo matusi mnayotukana watu ..mmeshaanza kulogwa
Wale waliochoma Mali za watu lazma watalogwaKama kungekuwa na uchawi wale waliofanya yale mauaji ya 29Oktoba leo hii wangekuwa wameshalogwa!