Msiofahamu, Balile ni Miongoni mwa wanamtandao

Balile ni kijana wa Rostam anatumiwa na Wanamtandao mpuuzeni mfutilie Istoria yake ametokea wapi ameshafanya kazi kwenye kampuni ya Rostam na Chanel ten huyo ni kijana wa wana mtandao
Ni malaya na mchumia tumbo wa kawaida ambaye anaweza kufanya au kufanyiwa lolote ili tonge liingie mdomoni. Ila litakufa mapema kwa namna linavyotumika. Angalia lilivyofutuka kama kifutu. Senzi kabisa.
 
Balile ni kijana wa Rostam anatumiwa na Wanamtandao mpuuzeni mfutilie Istoria yake ametokea wapi ameshafanya kazi kwenye kampuni ya Rostam na Chanel ten huyo ni kijana wa wana mtandao
Ahamishe kabisa familia yake maana tunamshughulikia kweli
 
Kwamba tusimsikilize sababu anaongea / ameongea pumba au sababu ni mwanamtandao kila asimacho ni pumba ?

Hii tabia ndio inatufanya tumeze kila asemacho so called mtu wetu na kupuuza kila kinachosemwa na so called mtu wao, mwisho wa siku vidagaa mnamalizana na mapapa yanapeta....
 
Huyo Balile uliwahi kuona anaekemea utekaji hata siku moja au familia ya mzee kibao yule akua binadamu Balile ni mpumbavu mmoja tu anaetumikia wanamtandao na maslahi yao na yake
 
Jamaa alishaamua kupigania masrahi ya wafalme wake. Nadhani naye tumuwekee doti usoni Ili tukianza tuijue na familia yake inapatikana wapi tupite nayo kabisa
 
Huyo Balile uliwahi kuona anaekemea utekaji hata siku moja au familia ya mzee kibao yule akua binadamu Balile ni mpumbavu mmoja tu anaetumikia wanamtandao na maslahi yao na yake
Kwahio kila mtu akitoa point hapa mfano wewe niende kwenye file lako na kuangalia ni mara ngapi umekemea utekaji na kumtetea Kibao ?

Au nikupinge kulingana na Hoja uliyotoa wakati husika ? Na wakati huu ni kwamba napima hoja kulingana na hoja iloyotoka wakati husika na sio nani ameitoa; Ikiwa pumba hata kama ni malaika haitabadilika kuwa mchele
 
Safi sana. Leo umeongea ukweli wako mtupu
 
Back
Top Bottom