Msiochangia post mungu anawaona

mshana jr....Tuwekee wale wanaochangia post kwa matusi, kejeli na dharau...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]virus huwa hatakiwi popote
 
Hao view sijui ni USALAMA WA TAIFA? Kuna "madude hapa hayajawahi kuchangia yana"view" na kusepa..
humu JamiiForums kuna usalama wa taifa,mawazir,wabunge nk hao ndo kazi yao kuchungulia tu au kuleta propaganda katika kukijenga chama tawala kuna muda usishangae unabishana hata na waziri mkuu wako
 
humu JamiiForums kuna usalama wa taifa,mawazir,wabunge nk hao ndo kazi yao kuchungulia tu au kuleta propaganda katika kukijenga chama tawala kuna muda usishangae unabishana hata na waziri mkuu wako
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…