Hii Ranking itatuua aisee!Wao wanasema wamefanikiwa kufika top 5 Africa
Kila la heri!Naona watu wanafukunyua nyuzi na post zangu za nyuma na kunitag ili kunizodoa. Napenda kuwajulisha kuwa mimi siyo tena mshabiki wa Simba. Nimechukua likizo isiyo na muda maalumu katika mpira wa bongo.
Pale nafsi yangu itakapokubali kurudi kufuatilia mpira wa Tanzania nitafanya hivyo ila nimeona kwanza nipumzike.
Asanteni na kila la kheri.
We sema tu unasubiria Simba ikianza kufanya vizuri utarejea kuishabikia.
Yanini uzungukezunguke.
Makolo sasa hivi mmekata tamaa kabisa.
Hamjui hata mfanye nini au mshike wapi ili mtoboe.
Mmebaki kutupiana lawama zisizo na maana tu.
Mara Mangngu out,mara try again ni chawa wa MO mara Muhamedi Ally sio simba ni yanga damu basi tu ilimradi mmeandika ili siku ipite huku moyoni mkiumia kuliko kawaida.
Poleni sana ndio mpira huo.
Hahahaha nafurahi sana kuona Makolo mnavyoteseka hasa wewe mleta mada,huwa unaletaga nyuzi kibao za kuipamba 5imba tukikwambia bila marefa hamtoboi ukawa mbishi msimu umeisha limekushuka.
We kijana wa Ngunguz tulia dawa ikuingie
Unaweza ukaamua tuu kunyamaza sio lazima uutangazie umma kuwa ww sio mshabiki wa Simba huko ni kufurukuta...shabiki wa kweli haachi timu yake...anaweza akanyamaza kupisha upepo fulani upite lakini kwny moyo na damu ni mshabiki kufa...
Simba damu mpaka kufa
Simba nguvu moja..
Huendi kokote baki hapo hapo na hiyo simba iendelee kukunyoosha
Safisha safisha inayoendelea sasa inanifurahisha sana. Fukuza, safisha, uza.....Kibu, Chasambi, Salum, Balua, Mutale, Ateba ondoa wote hao.Unateseka ukiwa wapi wee bwege 😁😁
Bwege 😁🤣Safisha safisha inayoendelea sasa inanifurahisha sana. Fukuza, safisha, uza.....Kibu, Chasambi, Salum, Balua, Mutale, Ateba ondoa wote hao.
Naweza kurudi mapema kuliko nilivyokuwa nategemea.
Jibu hoja. Unapokwenda napajua na nikiamua kujibu makombora utajilaumu saaana.Bwege 😁🤣
Hii ndio maana halisi ya mbumbumbuSafisha safisha inayoendelea sasa inanifurahisha sana. Fukuza, safisha, uza.....Kibu, Chasambi, Salum, Balua, Mutale, Ateba ondoa wote hao.
Naweza kurudi mapema kuliko nilivyokuwa nategemea.
Mtoseni,na badoJibu hoja. Unapokwenda napajua na nikiamua kujibu makombora utajilaumu saaana.
Usiposema umehamia timu gani bado tutakufuata tuNaona watu wanafukunyua nyuzi na post zangu za nyuma na kunitag ili kunizodoa. Napenda kuwajulisha kuwa mimi siyo tena mshabiki wa Simba. Nimechukua likizo isiyo na muda maalumu katika mpira wa bongo.
Pale nafsi yangu itakapokubali kurudi kufuatilia mpira wa Tanzania nitafanya hivyo ila nimeona kwanza nipumzike.
Asanteni na kila la kheri.
⏬️⏬️
Ni wazi Simba inaenda kupoteza mchezo wa leo. Iwe ni ndani ya dakika 90 au mikwaju ya penati ila Simba haishindi mchezo huu.
Mbona unaendelea sasa kulalamika! Kumbe ulishaachana kitambo na ushabiki wa simba! 😀Naona watu wanafukunyua nyuzi na post zangu za nyuma na kunitag ili kunizodoa. Napenda kuwajulisha kuwa mimi siyo tena mshabiki wa Simba. Nimechukua likizo isiyo na muda maalumu katika mpira wa bongo.
Pale nafsi yangu itakapokubali kurudi kufuatilia mpira wa Tanzania nitafanya hivyo ila nimeona kwanza nipumzike.
Asanteni na kila la kheri.
Sijalalamika na wala sijaumia. Matokeo ya jana niliyategemea na wala hayajanishtua. Katika uzi ule wa matamasha nilisema kitakachoenda kutokea na ndiyo vimeanza kutokea.Mbona unaendelea sasa kulalamika! Kumbe ulishaachana kitambo na ushabiki wa simba! 😀
Daah pole sana kolo.Sijalalamika na wala sijaumia. Matokeo ya jana niliyategemea na wala hayajanishtua. Katika uzi ule wa matamasha nilisema kitakachoenda kutokea na ndiyo vimeanza kutokea.