Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Msigwa ameulizwa kuhusu response ya serikali kuhusu maandamano yanayopamgwa kufanyika Disemba 9, ambapo amesema:
"Kuhusu maandamano ya Tisa Disemba, tunawasihi vijana wajiepushe na kufuata mkumbo kwa kujihusisha na vitendo vya kuharibu amani.
"Tumejipamga kuhakikisha usalama wa raia na mali zao unaimarishwa!"
Kiufupi ni kuwa serikali haina mpango wa kuwajibika wala nini, yaani kama mbwai na iwe mbwai!
Kwa hali hii 9 Disemba patawaka moto.