Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
mshana jr kwani kuna tofauti kati ya tako na kalio?Ni 'kama' kalio Pastor Achachanda
Katika matunda nayoyachukia fenesi linaongoza
Sijui wanasikia utamu gani kwny lile tunda, na vile wanapaka mafuta ya kula ndio kabisaaa.
Mara ya Mwisho nilikula nikiwa na 8yrs