MSIMU HUU WA SIKU NI MSIMU WA MAASI

MSIMU HUU WA SIKU NI MSIMU WA MAASI

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,653
Reaction score
4,758
Ni jambo lisilopingika kuwa mara nyingi msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka...ni msimu ambao watu wengi wanafanya maasi kwa kasi ya ajabu...ZINAA NI BABA WA MAASI MENGI KATIKA MSIMU HUU, AKIFUATIWA NA ULEVI ULIOKITHIRI NA FUJO...

NACHOSHANGAA VIONGOZI WETU WA DINI YA KIKRISTU HUWA HAWATUASI SANA KATIKA KUIENZI VEMA SIKU HII ADHIMU YA KUZALIWA KWA YESU KRISTU...SASA SIJUI KWANINI..? SIJUI KWA SABABU WANAONA WATATUKOSA WAUMINI KWENYE SADAKA...?

HIVI VIONGOZI WETU WA DINI WANASHINDWA KUTUAMBIA TUFANYE MATENDO MAKUU ALIYOFANYA YESU KRISTU KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUZALIWA KWAKE...mfano kuwajali mayatima, wajane, wafungwa, wagonjwa...

LAKINI WANAONGELEA MAMBO MENGINE MINOR MINOR...AMBAYO HAYAGUSI KABISA KUKATAZA MAASI KATIKA KIPINDI HIKI...MBONA NDUGU ZETU WAISLAAM MASHEE WAO WANAWAASA WAUMINI ZINAPOFIKA SIKUKUU ZA IDDI KUTOFANYA MAASI SIKUKUU HIZO...NA NI KWELI MAASI YANAPUNGUAGA SANAA...

HUKU KWETU KUNANI...? HASA HUKU KWETU KASKAZINI KWENYE MLIMA MKUBWA KULIKO WOTE AFRIKA....(nimechomekea tu 'in magufuli's voice)
 
Mimi nimeshaanza kula xmas tayari![emoji4][emoji4][emoji4]
114941.jpeg
 
Back
Top Bottom