Msimu huoooo umewadia!

Msimu huoooo umewadia!

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,627
Wote wakisubiri huduma
 
Attachments

  • 1417841887971.jpg
    1417841887971.jpg
    27.2 KB · Views: 709
Looh pole zao sidhani kama baadhi yao wanajua wako hapo kwa nini, wanaimba tu kwa furaha ngoja aanzwe mmoja na wanariadha tutawapata hapo hapo
 
MKuu hii sio fomeshen nzuri, tafuta neno lingine uweke kwenye red,

Mkuu umefika mbali sana, hapana tafuta kamusi ya kiswahili, usihalalishe kilicho haram mkuu, wataalamu wa lugha waje watusaidie sitengui kauli mpaka kieleweke
 
Mkuu hilo neno ni tata, ngoja kamati ya maridhiano ije
 
jando jandoni...
Unapewa Kitu inauma bila ganzi.......! ingekuwa kunakurudiaga hii kitu mimi ningekula kona..... Heri yao kina Rugemarila, Rwechungura, Rwezaura, Mutalemwa, Kaijage hawatahiriwi.
 
Kwa wale mabinti wanaopenda kula koni hapa inakuaje
 
Unapewa Kitu inauma bila ganzi.......! ingekuwa kunakurudiaga hii kitu mimi ningekula kona..... Heri yao kina Rugemarila, Rwechungura, Rwezaura, Mutalemwa, Kaijage hawatahiriwi.

Imenibidi nicheke.
 
Nafikiri na wao ndipo wanapo patia fursa ya [kuzama chumvini kwenye lile kono la sweta]

You made my day

Nimecheka mpaka basi hapo kwenye red
 
Back
Top Bottom