My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Wakuu salamu,
Watu wengi wamekuwa wakimpuuza Mange kimambi na kudhani ni mtu aliyerukwa na akili pengine au ana msongo wa mawazo au talaka imemchanganya ila ukweli ni kwamba mwanadada huyu msema kweli (wanaomwita msema hovyo ni green demons).
Ana jamaa yake Tanzania mvaa suti nyeusi ambaye ndo huwa anammegea ubuyu wote kuhusu habari za kaya.
Hata ishu ya Bi mkubwa kutaka kubwaga manyanga na Mange kuiweka hadharani ilikuwa ni kweli tupu, Tatizo la Mange mdomo wake hauna break ila anayoongea huwa ni kweli tupu.
Na sasa hivi anajiandaa kulipua bomu la lala salama,tutege masikio.
Hivi mpaka sasa bado hujateuliwa nyadhifa au bado unapiga deki toi hapo lumumbaLakini anawasadia vipi chadema na upinzani kisiasa kwa ujumla, zaidi ya umbea? Kwa maana CCM imeshinda Kata 19 kati ya 20!
Mbavu zanguUsikute ni maono ya Lema!!!!
Lakini si lazima uwe uongo!Kitu kikishaitwa ubuyu huwa sikiamini kabisa
Tatizo hayanaga udhibitisho kuwa ni kweli tofauti na kukisia tuLakini si lazima uwe uongo!
Ha ha haaaaAisee hata kinyonga huwa ana rangi ya kudumuView attachment 464592
Hiii kitu kuna Mtu nlikua napiga story nae... Akawa anasema kua Mange lazima atakua na watu walioko kwenye system wanampush kufanya hvyo... Either mawaziri or mtu yyte very powerful ambae hafurahishwi na utendaji wa Mkuu... All in all time is the best medicine.. ngoja tusubr tuoneMbona mmekuwa wakati sana wenye kutoa mapovu mengi? Kwa nini msiisubiri hiyo kali tuione? Am not surprised kwani hata mimi ninaamini wapo ma blacksuit and glasses who are not happy and comfortable with what's going on. It's just a matter of time. Let's wait and see
Lakini anawasadia vipi chadema na upinzani kisiasa kwa ujumla, zaidi ya umbea? Kwa maana CCM imeshinda Kata 19 kati ya 20!