Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo
1) ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.
2) ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka ccm na kuteuliwa kuwa mgombea urais
3) ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao
4) ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka ccm kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?
5) ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka ccm wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka ccm.
6) makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa ccm ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?????
Tafakari chukua hatua haraka !!

Utakuwa na mtindio wa ubongo kiukweli kama mambo ya msingi kama haya utayadharau halaf unataka kutawala nchi. Utatawaje? ??? Kama siyo hekaya za abunuwasi. Mwanasiasa lazima tuone uhalisia wa anachoongea na jambo analotaka kulisimamia.Nenda Lumumba kachukue posho yako watu hawana muda wa kusikiliza ngonjera zako
Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo
1) ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.
2) ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka ccm na kuteuliwa kuwa mgombea urais
3) ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao
4) ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka ccm kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?
5) ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka ccm wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka ccm.
6) makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa ccm ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?????
Tafakari chukua hatua haraka !!
Mbowe aliuza chama unategemea nini?

Umeandika hivi lkn moyoni kuna kitu kinakusuta...unajua mwenyewe ni kitu gani.Safi sana kamanda kwa kujitambua, hata mimi ni chadema siwezi kuuza utu wangu kisa feza anazotoa mzee lowasa. Nipo pamoja na Dr SLAA