Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,538
oooooh!! huo ndio msimamo wako! ok nimekuelewa, ila ule ndio wangu
your veryyyy wrong
hee hee watu wametoka kwenye mechi so wakiwa half time ndo wanajimuvuzisha hapa
hivi haijakufikia tu!?? mi nikajua ushaanza ya pili!?? ukumbuke kikopo
hizi matipo ID's hizi....!!!!:cool2:
thats why i love you, veryyy understanding
Unajuwa Tokyo ni saa ngapi saa ngapi muda huu? San Fransisco? Vancouver? Moscow?
Tahadhari usijejikuta umekesha peke yako.
mmh!! kama msimamo wako ndio huo hapo juu...hata usinipende atii!!!
sema haki ya mungu!
quality amezipanga nani?
mmh!! kama msimamo wako ndio huo hapo juu...hata usinipende atii!!!
hahaaaa!! niimaanisha kikopo cha reds, teheee
Sawa mkuu nmekuelewa nlikua cjui kama wengne wapo nje ya nchi