Ikija kwenye kutimiza majukumu yangu, sihitaji msaidizi wala utetezi. Natekeleza wajibu wangu kama mume. Wife ana kazi yake lakini bado nampa pesa ya mambo ya nyumbani kana kwamba hana kipato.
Kazi yake kuangalia familia na kuzaaa, kama ilivyoandikwa kwenye Biblia. Mimi ni kula kwa jasho. Mengine mbwembwe tu!