Punguza hasira kijana, hauwezi kupanga idadi kubwa ya watoto wakati hali yako tia maji tia maji. Unless una mke asiejielewa nae. Na msije kutusumbua tu baadae kutaka misaada.Ha ha ha ha ha na hata kutafuta kwa Jasho hata laki moja ni kwa Jasho Woman.
Huwez kupanga idadi ya watoto niwatakao wether nina uwezo or not Kazi yako ulioletewa ni kuzaa thats all mengne hayakuhusu.
Your money your Rules and My money my rules, Mpe mama yako akushikie or whatever as long as pesa ni yako
But if its my money forget that, Usimuamin mwanamke hata kama anakutania "Mwana Fa"
Ha ha ha ha nikasirike kwa lip sasa Mama,Punguza hasira kijana, hauwezi kupanga idadi kubwa ya watoto wakati hali yako tia maji tia maji. Unless una mke asiejielewa nae. Na msije kutusumbua tu baadae kutaka misaada.
Your money our money, raha iliyoje!!!
Namaanisha mamaako naye angekuwa na akili nzuri kama hiyo yako wewe usingekuwepo hata hapa duniani mkuuSasa mama yangu kaingiaje hapo mkuu, kwani yeye ndio mume wangu? teh teh teeeeh! Yeye ni mamangu na mimi ni mimi.
Panga tu idadi uliyo na uwezo nayo kijana, usije ukadhani unamkomoa mwanamke kumbe unakomoa wanao.Ha ha ha ha nikasirike kwa lip sasa Mama,
Kama u have ur rules hata the other side we have our rules
Whether its tia maji tia maji still huwez kunipangia Idadi, Unless ur the one deciding the Future of the people.
Speaking of kuja kukuomba msaada baadae ha ha ha u might get old for that waiting.
Akili yake ilikuwa kubwa sana ndio maana akanizaa mimi mwenye akili kubwa pia.yaan
Namaanisha mamaako naye angekuwa na akili nzuri kama hiyo yako wewe usingekuwepo hata hapa duniani mkuu
Kama una huo uwezo hamna shida kabisa.Kama mm nikiwa mmeo hayo yote hayana shida but kwa sharti moja... uwe tu mama wa nyumbani sitakuruhusu kuajiliwa sijui ofisi gani et nop, baki home ulee watoto mahitaji yote mi nitawaletea
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika kama naweza kupanic kwa jambo dogo namna hiiPanga tu idadi uliyo na uwezo nayo kijana, usije ukadhani unamkomoa mwanamke kumbe unakomoa wanao.
Kwahilo tu basi rahaaa, mke anaangalia tu huyu anataka watoto 7 wakati uwezo wake wa mmoja tu!! Basi mnaenda sawa tu(kama anajielewa lakini).
Usije tu ukameza simu/kifaa unachotumia maana doooh!
Mwanao anaitwa nan vile?Oooh kumbe! Basi sawa kaka.
Ha ha ha a ha haha haaaaMwanangu.
Heaven Sent unauliziwa huku my beloved dota.Ha ha ha a ha haha haaaa
Sasa hyu bintiyo akisema my money our Money ntakubaliHeaven Sent unauliziwa huku my beloved dota.