Msimamo wangu

 
Bora we we umekuwa muwazi. Wanawake waliowengu huo ndiyo msimamo japo ukweli huo wnaume walio wengi hapendi kuukubali. Viva a to to.

Thats it, kwa wengi kama sio wote sio msimamo ni mtazamo ila kutokana na changamoto za maisha hujikuta wakikubaliana na hali halisi ila deep down ndicho anachowish, wengi hawasemi ila ndicho wanachotamani.
 
 
Teh Teh mtani atoto ulishafanikiwa? Mimi msimamo wangu ni kuwa vya mtani ni vyangu!
 
Last edited by a moderator:
Ushaumizwa wewe sasa unachotafuta ni mkataba wa kuishi na mwanaume sio ndoa na mapenzi .
 



Sema tu umechoka kuvuliwa chupi na wanaume tofauti kila kukicha....hivi kwa akili yako, unafikiri kuna mwanaume gani atakayekuoa wewe na tabia hii? Si kila mwanamke inabidi aolewe, kuna wengi wenu dizaini yako wako tu kwa ajili ya kuchafuliwa mavuzi na wanaume tafauti tofauti na kutupwa kuleeee. Pole lakini kwa kuwa bitter.
 


Hahahaaa...nimecheka sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…