Msimamo wangu

Mtani bhana.....!Ngoja nikuletee naniliuuuuuu............
 
A.....tooo....tooooo tulia shusha pumzi punguza jazba' inaonekana unakutana na majambazi hujakutana na wagawa faraja' unapewa mahaba wewe na masharti yako hamna hata utakalokumbuka hata moja

Hahahaaaaa! Huyu mgawa faraja wangu ndio amefanya hiyo misimamo iimarike zaidi
 
Si inaonekata tu mama ur flow inaonyesha unamrundikano wa mambo yanayokukera kwa muda-hupati faraja unayoitaka

Yo very very far from the truth, am very very very happy with him
 
nimeipenda hiyo ya mwanaume ni lazima awajibike, maana kuna vidume wanapenda kutegea

Haki sawa wenyewe wamedai na wamepiga kelele kwenye media na majukwaa ni lazima wahusike kukutunza pia
 
Haki sawa wenyewe wamedai na wamepiga kelele kwenye media na majukwaa ni lazima wahusike kukutunza pia

Vitu vingine kama hujui ni bora unyamaze!! Hizo haki sawa unazoziimba unajua misingi yake???
Lame excuse for a man, ila ngoja ukue utaelewa.
 

They say Mwanamke mpu.mbavu huvunja ndoa kwa mikono yake
 

Dear vp tena huku mbona umeua bend
 
Dear vp tena huku mbona umeua bend

Hahahaaaaa!! We nawe mfukunyukuuuu!! Huku umefuata nini sasa?
Anyway bora lkn umeupata ujumbe, sasa uamue kusuka ama kunyoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…